Kazi unayo,kisa upate tu bando..Na katibu alivyosema tujitu hoja zote mitandaoni.Watakaohudhuria hiyo kampeni ni wale wapigaji waliokatiwa mirija ya kutafuna Nchi
Kwani kuna nchi inayomilikiwa na mtu mmoja?Kwani kuna nchi isiyokuwa ya Wananchi?
Hizi ni dalili za kuishiwa sasa!
Tumefikia hatua usipokuwa mwana CCM si mwananchiKwani kuna nchi isiyokuwa ya Wananchi?
Hizi ni dalili za kuishiwa sasa!
Huijui nchi ya Magufuli au hujawahi kusikia Tanzania ya Magufuli? Serikali ya Magufuli? CCM ya Magufuli?Kwani kuna nchi isiyokuwa ya Wananchi?
Hizi ni dalili za kuishiwa sasa!
Unaelewa maana ya nchi bwashee?!Kwani kuna nchi inayomilikiwa na mtu mmoja?
Nyie ndio mnaoamini Chadema ni mali ya mzee Mtei wakati inaendeshwa kwa ruzuku ( kodi) ya serikali.........bure kabisa!Huijui nchi ya Magufuli au hujawahi kusikia Tanzania ya Magufuli? Serikali ya Magufuli? CCM ya Magufuli?
Tunajua nchi ni yetu sote ila kuna kundi la wapuuzi fulani wanataka kujimilikisha na kutuaminisha nchi ni yaoKweli hawa jamaa wameishiwa, yani wanaanzisha program ya kutuambia kuwa Tanzania yetu wananchi? Nani asiyejijua kama Tanzania ni yetu watanzania...
Nyie mnaoamini Ndege zinanunuliwa kwa hela za Magufuli tuwaiteje? Vilaza?Nyie ndio mnaoamini Chadema ni mali ya mzee Mtei wakati inaendeshwa kwa ruzuku ( kodi) ya serikali.........bure kabisa!
Kwamba Chadema ni mali ya babamkwe wa Mbowe.....hivyo mmempa Uenyekiti wa kudumu!Nyie mnaoamini Ndege zinanunuliwa kwa hela za Magufuli tuwaiteje? Vilaza?
Na ni lazima uwe mwananchi 'mnyonge'.Tumefikia hatua usipokuwa mwana CCM si mwananchi
Pole pole mkuu ruzuku italiwaje na viongozi wa makao makuu.Lazima wabuni vitu Kama hivyo wapate sababu ya kula ruzuku.Hiyo ni project ya chadema makao makuu kunywa Panadol ya pesa za ruzuku kumeza kavukavu bila hata tone la Maji la kuisindikizia tumboniKwani kuna nchi isiyokuwa ya Wananchi?
Hizi ni dalili za kuishiwa sasa!
Kampeni hii itakayojulikana kwa jina la “TANZANIA YA WANANCHI” inalenga kuelimisha, kuhamasisha wananchi katika kutambua haki zao za msingi kwa kuzingatia misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambayo pamoja na mambo mengine inatambua: Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa na wananchi ndio msingi wa mamlaka yote.
Pamoja na mambo mengine kampeni hii inalenga vilevile kuvunja kile kinachoelezwa kwamba ni dhana potofu ya “Tanzania ya Magufuli” ambayo inalenga kupoka mamlaka ya umma wa Watanzania ambayo yapo kikatiba.
Mtonyaji anabainisha kwamba maandalizi yameanza na itagegemewa kuzinduliwa rasmi hizi karibuni.