Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Bora tungeendelea kuwa Chini ya Mkoloni Mwingereza Kuliko haya Tunayaofanyiwa na CCM Wauwaji Wakubwa. Ubaguzi Uliopo ni bora ya Mkoloni Mwenyewe. Rais gani haheshimu Watanzania Wenzie, anawafanyia Unyama kana kwamba yeye ni Wa Taifa tofauti.
Kama ungeishi kipindi cha ukoloni usingekuwa na kauli kama hii.
Inasikitisha mno namna vyama vya upinzani vinavyoficha madhaifu yao ya kutopenda kufuata kanuni na taratibu nyuma ya mgongo wa Demokrasia.
Kila wanapokosea lazima waimbe wimbo kuwa hapa nchini hamna demokrasia.
Na demokrasia ya kweli ni kutofanya uchaguzi mkuu, au kiongozi kuwa na absolute power,
Angalia katiba ya ACT, Zito ni Kiongozi mkuu wa Chama, he is top of Mwenyekiti. Hii ni nini kama sio Udikteta na kujilimbikizia madaraka.
Njoo kwa Chadema, Mbowe ni Mwenyekiti mwaka wa 15 huu unakwenda, yeye ndio anauamuzi wa mwisho nani atagombea nafasi ya Urais. Nani atakuwa Mbunge viti maaluum, nk. n.k.
Huko upinzani hakuna hata dalili ya demokrasia, na hao ndio wanaodai taifa hili hatuna demokrasia.
Kama kweli wanataka demokrasia waanze katika vyama vyao.