Bora tungeendelea kuwa Chini ya Mkoloni Mwingereza Kuliko haya Tunayaofanyiwa na CCM Wauwaji Wakubwa. Ubaguzi Uliopo ni bora ya Mkoloni Mwenyewe. Rais gani haheshimu Watanzania Wenzie, anawafanyia Unyama kana kwamba yeye ni Wa Taifa tofauti.
Mngejua msingekuwa mnasema ndege za magulufi hospital za magulufiKweli hawa jamaa wameishiwa, yani wanaanzisha program ya kutuambia kuwa Tanzania yetu wananchi? Nani asiyejijua kama Tanzania ni yetu watanzania...
Achana na Demokrasia ya vyama maana hata CCM ndiyo Uozo kabisa. Hakuna Mwenyekiti zaidi ya Rais.Kama ungeishi kipindi cha ukoloni usingekuwa na kauli kama hii.
Inasikitisha mno namna vyama vya upinzani vinavyoficha madhaifu yao ya kutopenda kufuata kanuni na taratibu nyuma ya mgongo wa Demokrasia.
Kila wanapokosea lazima waimbe wimbo kuwa hapa nchini hamna demokrasia.
Na demokrasia ya kweli ni kutofanya uchaguzi mkuu, au kiongozi kuwa na absolute power,
Angalia katiba ya ACT, Zito ni Kiongozi mkuu wa Chama, he is top of Mwenyekiti. Hii ni nini kama sio Udikteta na kujilimbikizia madaraka.
Njoo kwa Chadema, Mbowe ni Mwenyekiti mwaka wa 15 huu unakwenda, yeye ndio anauamuzi wa mwisho nani atagombea nafasi ya Urais. Nani atakuwa Mbunge viti maaluum, nk. n.k.
Huko upinzani hakuna hata dalili ya demokrasia, na hao ndio wanaodai taifa hili hatuna demokrasia.
Kama kweli wanataka demokrasia waanze katika vyama vyao.
Kampeni hii itakayojulikana kwa jina la “TANZANIA YA WANANCHI” inalenga kuelimisha, kuhamasisha wananchi katika kutambua haki zao za msingi kwa kuzingatia misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambayo pamoja na mambo mengine inatambua: Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa na wananchi ndio msingi wa mamlaka yote.
Pamoja na mambo mengine kampeni hii inalenga vilevile kuvunja kile kinachoelezwa kwamba ni dhana potofu ya “Tanzania ya Magufuli” ambayo inalenga kupoka mamlaka ya umma wa Watanzania ambayo yapo kikatiba.
Mtonyaji anabainisha kwamba maandalizi yameanza na itagegemewa kuzinduliwa rasmi hizi karibuni.
Watakaohudhuria hiyo kampeni ni wale wapigaji waliokatiwa mirija ya kutafuna Nchi
Serikali ya CCM imezuia shughuli za kisiasa kama mikutano halafu hapo hapo mnawataka CHADEMA wafanye uchaguzi wa viongozi wao, HII HAIJAKAA SAWA!! NA KIBARAKA WENU Msajili wa vyama anashinikiza bila ya kutetea kwanza haki ya vyama kuendesha shughuli zake bila kuingiliwa na dola.Kwamba Chadema ni mali ya babamkwe wa Mbowe.....hivyo mmempa Uenyekiti wa kudumu!
Achana na Demokrasia ya vyama maana hata CCM ndiyo Uozo kabisa. Hakuna Mwenyekiti zaidi ya Rais.
Hapa Issue ni Demokrasia ya Taifa maana ni letu wote, Vyama ni vya Wenye Vyama.
Kwanini CCM haijitengi na
Vyombo vya Dola pia Kwanini Hamtaki Kufanya Fair Election kwa Kuwa na mifumo yenye Kuruhusu Uwazi, Usawa na Haki?
Tafakari Mkuu kama binandamu na si Robort.
Yes, mradi kwangu naona mzuri kuliko kwenda kwenye uchaguzi wa kisanii. Kama mlipa kodi naona pesa yangu imetumika kiuhalaliHuu ni mradi mwingine wa kujustify matumizi ya ruzuku.
Akili ni nyweleupo sahihi kabisa mkuu, vyama vya upinzani ile ni miradi ya watu binafsi.
Akili ni nywele
Tulieni sindano iwaingie wapuuzi nyie nchi mliifanya mali yenu ee, ngoja sasa tuwabumbuluwe wananchi.Kwani kuna nchi isiyokuwa ya Wananchi?
Hizi ni dalili za kuishiwa sasa!