Pre GE2025 CHADEMA kuzindua Operesheni KUCHA ( Kataa Uchafuzi Kwenye Uchaguzi)

Pre GE2025 CHADEMA kuzindua Operesheni KUCHA ( Kataa Uchafuzi Kwenye Uchaguzi)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Snapinsta.app_456620140_18431800651071244_3714825495534782816_n_1080.jpg
CHADEMA Kanda ya Kaskazini Leo inazindua Operesheni KUCHA yaani Kataa Uchafuzi Kwenye Uchaguzi

Wote mnakaribishwa 😂😂
 
Mbona A haina uwakilishi halisia bora hata kuchu kuchu hutae, hahahaa mimi kazi yangu ni kuelimisha jamii
 
-sangara
-nyangumi
-join the chain aka lamba lamba
-Kucha/ next
-Kusimamia kucha ✌ ✌ ✌
Piiiiipoooo, zungusha - zungusha - zungusha Piiiiipoooo / power no 1.
 
Hivi kuna operation yao hata moja imewahi kufanikiwa?
Halafu hapo wataanza kutuchangisha pesa siku si nyingi.
 
Back
Top Bottom