Pre GE2025 CHADEMA kuzindua Operesheni KUCHA ( Kataa Uchafuzi Kwenye Uchaguzi)

Pre GE2025 CHADEMA kuzindua Operesheni KUCHA ( Kataa Uchafuzi Kwenye Uchaguzi)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Semeni Kataa uchafuzi kwenye chaguzi na siyo kataa uchafuzi kwenye uchaguzi, (cha unaipata vizuri kwenye neno chaguzi kuliko kwenye neno uchaguzi)
Sasa " Kwenye" iko wapi hapo?

Vifupisho siyo lazima vibebe maneno yote kama yalivyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sasa " Kwenye" iko wapi hapo?

Vifupisho siyo lazima vibebe maneno yote kama yalivyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kataa uchafuzi kwenye chaguzi badala ya uchaguzi wekeni chaguzi, the last word should be chaguzi not uchaguzi it will sound better, (adaptability) do not stick to your mind set
 
CHADEMA Kanda ya Kaskazini Leo inazindua Operesheni KUCHA yaani Kataa Uchafuzi Kwenye Uchaguzi

Wote mnakaribishwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ni upuuzi tupu.

Njia sahihi ya kukataa hayo ni kuanzisha Operesheni ya kukataa Katiba iliyopo hivi sasa pamoja na Sheria zingine ambazo zinaruhusu haya mambo yote yasifaa kufanyika.Not otherwise.
 
Mradi mwingine wa Mbowe kupiga pesa kwa wafadhili ndani na nje baada ya join the chain

Mbowe mzuri sana kubuni miradi ya kuvutia wafadhili watoe pesa
Hongera zake kwa ubunifu tofauti na akina Lisu ambao ubunifu pekee ni kuomba achangiwe pesa ya gari lake
 
Hivi kuna operation yao hata moja imewahi kufanikiwa?
Halafu hapo wataanza kutuchangisha pesa siku si nyingi.
Zinafanikiwa kukusanya pesa za wafadhili.ns kuzitafuna.Wafadhili wa ndani na nje huangalia heading tu na kumwaga pesa

Mbowe mjanja sana kubuni project za kuleta Pesa join the chain sasa kaja na hii mpya
 

DCP MATEI AHIMIZA WELEDI KWA MAAFISA WA POLISI, AGUSIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA.​

Thursday, August 22, 2024



NA JOSEA SINKALA,
SONGWE TANZANIA.

Mkuu wa Kitengo cha kampuni binafsi za ulinzi na Polisi wasaidizi kutoka makao makuu ya jeshi la polisi Dodoma kamisheni ya polisi jamii Naibu kamishna wa Polisi DCP Ulrich Matei, amewataka maafisa wa Polisi kuendelea kuzingatia sheria na taratibu kwenye kazi zao za kulinda raia na mali zao ikiwa ni pamoja maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa kuhakikisha unafanyika kwa amani na utulivu.


DCP Matei akiambatana na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Paul Sanga kutoka Kamisheni ya Operesheni na Mafunzo, kwa pamoja wawili hao wamefanya ziara ya kikazi Mkoani Songwe zaidi wakitoa elimu kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo maandalizi ya uchaguzi.


DCP Matei amewaelekeza askari polisi kutambua na kuzingatia wajibu wao katika uchaguzi na kutojihusisha na itikadi za kisiasa badala yake wasalie kwenye wajibu wao kwa mujibu wa katiba na sheria zinazowaongoza.


Amesema kwa kufanya hivyo itasaidia kutenda haki bila kujali itikadi za vyama vya kisiasa, dini, jinsia wala kabila na kufanya Taifa kuendelea kuwa la umoja, mshkamano na utulivu kwa maendeleo endelevu.


Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa bwalo la Polisi Vwawa wilayani Mbozi na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Idara ya uhamiaji na Jeshi la Akiba (Mgambo) walioungana pamoja na jeshi la Polisi mkoa wa Songwe katika kuimarisha umoja, usalama na uwajibikaji wa pamoja mkoani humo
 
Chadema ina vituko kila siku wao ni ma operation na mission tuh
Afu kwa kubuma xx
 
Operesheni kucha ๐Ÿ˜‚

Dah, cjui ht Chadema wanawaza nn ๐Ÿ˜‚
 
-sangara
-nyangumi
-join the chain aka lamba lamba
-Kucha/ next
-Kusimamia kucha โœŒ โœŒ โœŒ
Piiiiipoooo, zungusha - zungusha - zungusha Piiiiipoooo / power no 1.
Ccm mbele kwa mbele maana yake nn!. Mbele kwa nyuma je au nyuma kwa mbele.
 
Back
Top Bottom