johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Chezea kufilisiwa mashamba ya familia!Hivi Sumaye na Lowassa wanaipenda CCM au wame rudi kutetea Maslahi yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamerudi kujiunga na majizi wenzao ili wapige pigo la mwisho kwani wanajua kuwa mwisho wao umefikaHivi Sumaye na Lowassa wanaipenda CCM au wame rudi kutetea Maslahi yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
now majizi wamerudi nyumbani kumenoga!Wamerudi kujiunga na majizi wenzao ili wapige pigo la mwisho kwani wanajua kuwa mwisho wao umefikaView attachment 1355846
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamerudi kujiunga na majizi wenzao ili wapige pigo la mwisho kwani wanajua kuwa mwisho wao umefikaView attachment 1355846
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaipenda CHADEMA #Sumu haijaribiwi kwa kuonja@ Mbowe.Hivi Sumaye na Lowassa wanaipenda CCM au wame rudi kutetea Maslahi yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huko chadema pia huwa mnapokea majizi?Jibu zuri sana. Anauliza wkt majibu anayo
Kama ni hivyo msingemfanyia figisu Dr Slaa!Mzee Mgaya quality is better than quantity.
Dr. Slaa hakufanyiwa figisu, kwani alishiriki katika hatua zoooote za mchakato wa kumkaribisha Lowasa. Dr. Slaa alibadilika kutokana na shinikizo la mke wake ambaye alikuwa anapata maelekezo toka 'kampuni'.Kama ni hivyo msingemfanyia figisu Dr Slaa!
Wanasiasa kila moja anajaribu karata yakeHivi Sumaye na Lowassa wanaipenda CCM au wame rudi kutetea Maslahi yao?
Usishangilie, unakuja utaratibu wa Kambale, utaratibu ambao mara nyingi huzaa machafukoNajiuliza tu maana tangia wamchukue Lazaro Nyalandu kutoka CCM hawa jamaa wa CHADEMA hawajapokea diwani wala Mbunge tena kutoka chama tofauti.
CCM wao karibia kila mwezi wanapokea madiwani kutoka vyama vya upinzani wanaojiunga nacho kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli.
Je, CHADEMA kimepoteza mvuto au wanawapokea kimya kimya?
Maendeleo hayana vyama!