CHADEMA kwa muda mrefu sasa haijapokea madiwani wala wabunge kutoka vyama vingine. Je, haipendwi?

Wenye chama ni wapigakura wenye vichinjio. Inawezekana hao wanaohama wataipigia kura Chadema.
 
Wajiunge chadema ili waunge juhudi gani mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA hawanunui watu.

CHADEMA ni chama cha watu, wakitaka kuua CHADEMA basi wasinunue viongozi, wanunue wanachama kama wanaweza.


Waambieni hao viongozi uchwara kwamba;
Wakifanya vizuri watachaguliwa.

Wakiona kwamba hawapendwi, wajue kwamba, wao si viongozi bali ni watawala.

Wabadilike, waacha kauli za kishujaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…