Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

Sijui ni kwanini Mimi ninaamini kwenye matumizi ya nguvu kuiondoa ccm kuliko hizi sera zenu? Hivi Kati yenu nani anaamini 2015 Magu alishinda uchaguzi? Chadema hawajaanza kuwa na sera nzuri leo, elimu bure pia ilikuwa sera ya chadema
Nguvu wewe unazo wakati hata yule bibi yako kila siku anakunyuka kama mtoto mdogo!!
 
Porojo tu.. ndotooooooooooooo
Upinzani kweli mumekwishaaaa.. na munajuwa..


Hawawezi kufanya hayo.. kama nchi zilizoendelea nyingi.. zimeshindwa.. eti hawa wataweza.. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. ndio kwanza watakata kurudi kufika miaka kama 10 iliyopita.. huku wakibeba kujitajirisha.. na kusafiri ulimwenguni..

Wafanyakazi na Magufuli πŸ’―
Wanamfahamu na wana IMANI nae..
 
Nakusisitiza tu mkuu, mpende sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…