uzuri wa mpira usichezeee nje, ingia ndani uone, JPM hii nchi ameitoa kwenye hali mbaya sana, kwa Tanzania bado hatujafikia huko uchumi wetu ndo kwanza tumeingia wa katikati.
Na ndo maana yeye atengeneza vyanzo vya mapato kwanza.
akifanya yote hayo Kwa kukurupuka bado tutamcheka tu, maana hizo ajira atashindwa kulipa mishahara, hiyo mishahara akiongeza kwa kukurupuka atashindwa kulipa kwa wakti, na ndo maana anajenga uchumi ulio imara ili mambo yote yawezekane kwa badae.
kwa Mr JPM, ni Kiongozi mzuri sana, kwanza kwa jinsi alivyoweza kuhandle issue ya COVID19, watanzania tuwe na shukrani hakuna kiongozi wala wataalam wetu hawa tunaowategemea, wangeweza ivi, ndo kwnza wanaishia kununuliwa na mabeberu.
watanzania tungekufa wengi sana, JPM katumwa na MUNGU tumsupport, tumuombee, ivyo mnavyovitaka mtapata tu.
Issue sio Sisiem, hapa nazungumzia JPM, Kama ni sisiem hata membe bado ni sisiem.
tumchague JPM na mimi naamini hakuna wa kumuangusha.