Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Sasa ukisema matumizi ya nguvu jiulize against who.....?!Sijui ni kwanini Mimi ninaamini kwenye matumizi ya nguvu kuiondoa ccm kuliko hizi sera zenu? Hivi Kati yenu nani anaamini 2015 Magu alishinda uchaguzi? Chadema hawajaanza kuwa na sera nzuri leo, elimu bure pia ilikuwa sera ya chadema
CCm kama chama wanatumia mamlaka, tukijua namna ya kubana hizi mamlaka sio kwa kuwategemea chadema bali sisi kama raia mtaona mabadiliko tunayotaka.
Shida wanachi wa Tanzania wanatumia kauli za upinzani na akili za upinzani kukemea serikali na hapo ndipo serikali wanapata sababu ya kuwa na kiburi maana wanajua wanachi hawajui kujisemea na wanajazwa akili na upinzani.