Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

Ili upate uhalali wa kutumia nguvu kama unavyosema, ni lazima kwanza uwe na uhakika umeibiwa kura vinginevyo kila mtu atakushangaa.
Katika mazingira ambayo tume ya uchaguzi na serikili ni wagombea pia huo uhalali wa kura ulizopata unaupata wapi?
 
3. Kurudisha Fao la Kujitoa.

4. Kushusha PAYE

5.Kushusha VAT hadi 10%

6. Kupunguza Makato ya mikopo ya wanafunzi kutoka 15% hadi 3%.
 
Wazaramo wana msemo wao " zilongwa mbali, zitendwa mbali"... endeleeni kujifurahisha.
 
Kwanza hakuna anaeweza kuchukuwa ushauri wako sababu wewe Ni takataka tu pili ikiwa baba wa demokrasia nccr mageuzi walishindwa itaweza kweli Sacco's?
 
Ushindi wa Magu mwaka huu ni zaidi ya mafuriko! Hatupeleki wasanii wa kuigiza ikulu! Tunapeleka wenye uthubutu na utimamu wa akili! Mungu azidi mbariki, kumuongoza na kumtunza rais wetu mpendwa My. Dr. JJ P Magufuli! Mungu ibariki zaidi Tz!
 
Sio bure unafaidika na awamu hii ya tano, wacha wasiofaidika waseme
 
Sijui ni kwanini Mimi ninaamini kwenye matumizi ya nguvu kuiondoa ccm kuliko hizi sera zenu? Hivi Kati yenu nani anaamini 2015 Magu alishinda uchaguzi? Chadema hawajaanza kuwa na sera nzuri leo, elimu bure pia ilikuwa sera ya chadema

Unajua kwenye nguvu sio kwamba hawafikilii. Wanajua sana ila wanataka kuwapa sababu wananchi na kuwafanya wachague na waamue kufanya mabadiliko.
 
Sio bure unafaidika na awamu hii ya tano, wacha wasiofaidika waseme
Wenye kuona mbali tunaelewa Magu anayoifanyia Tz! Mungu azidi kumthibitisha! Wapendwa vya Berkeley mnalo saana!
 
Kujenga miundo mbinu mpaka kijijini itakua powa sana,sababu huko ndiko kunahitaji mabadiliko sana, nahisi watu vijijini ndio wanatulisha urban areas,....again since huko ndiko kuna wapiga kura wengi, ukiwaonyesha una nia ya kui mprove their living standards, lazima watakuchagua, Kwenye Kampeni mimi nahisi mu invest heavily kwenye kupiga kampeni vijijini...

Kingine ni Afya nimependa alichopropose mtoa mada,Wajawazito,Disabled,and the elderly wapate matibabu bure, ningependa kuadd watu wenye magonjwa sugu kama Diabetes pia wapewe kipaumbele, thanks.
 
Sio bure unafaidika na awamu hii ya tano, wacha wasiofaidika waseme
Wenye kuona mbali tunaelewa Magu anayoifanyia Tz! Mungu azidi kumthibitisha! Wapendwa vya Berkeley mnalo saana!
Acha m
Acha mawazo ya kupungu hayo! Magu tutampigia kura watz wote siyo kwa sababu ni msukuma...Bali kwa kutambua utayari wake ktk kulitumikia taifa letu kwa moyo wake wote huku akimtanguliza Mungu mbele! Mtazamo finyu Kama wako ni hatari Sana kwa nchi ya kistaalamu iliyoasisiwa na Mwl. I. I. Nyerere!
Hebu acha upungu we! Magu atapigiwa kura na watz wote siyo kwa Kuwa ni msukuma...Bali kwa kutambua utayari wake ktk kulitumikia taifa letu kwa moyo wake wote huku akimtanguliza Mungu! Mawazo ya kipumbavu ya kuangalia ukanda, ukabila, udini, nk ni upungu uliokithiri ambao hauna nafasi ktk dunia ya wastaarabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…