Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

Wenye kuona mbali tunaelewa Magu anayoifanyia Tz! Mungu azidi kumthibitisha! Wapendwa vya Berkeley mnalo saana!

Acha m

Acha mawazo ya kupungu hayo! Magu tutampigia kura watz wote siyo kwa sababu ni msukuma...Bali kwa kutambua utayari wake ktk kulitumikia taifa letu kwa moyo wake wote huku akimtanguliza Mungu mbele! Mtazamo finyu Kama wako ni hatari Sana kwa nchi ya kistaalamu iliyoasisiwa na Mwl. I. I. Nyerere!

Hebu acha upungu we! Magu atapigiwa kura na watz wote siyo kwa Kuwa ni msukuma...Bali kwa kutambua utayari wake ktk kulitumikia taifa letu kwa moyo wake wote huku akimtanguliza Mungu! Mawazo ya kipumbavu ya kuangalia ukanda, ukabila, udini, nk ni upungu uliokithiri ambao hauna nafasi ktk dunia ya wastaarabu!

Nimekuelewa chief, 2ko pamoja 😀
 
Kujenga miundo mbinu mpaka kijijini itakua powa sana,sababu huko ndiko kunahitaji mabadiliko sana, nahisi watu vijijini ndio wanatulisha urban areas,....again since huko ndiko kuna wapiga kura wengi, ukiwaonyesha una nia ya kui mprove their living standards, lazima watakuchagua, Kwenye Kampeni mimi nahisi mu invest heavily kwenye kupiga kampeni vijijini...

Kingine ni Afya nimependa alichopropose mtoa mada,Wajawazito,Disabled,and the elderly wapate matibabu bure, ningependa kuadd watu wenye magonjwa sugu kama Diabetes pia wapewe kipaumbele, thanks.
Watz hata vijijini kwa Sasa wanaojitambua Sana! Hawadanganywi na maneno ya kilaghai! Wameshaonja uongozi thabiti wa awamu ya tano chini ya Magu hawadanganyiki! Eti "ukionyeshe"...ebo! Kaonyesheni Basi muone na ushoga wenu Kama mtapata hata za wake zenu!
 
Mnhhhhhh ,uongozi thabiti labda wana CHATO ndio wameuona,shoga mwenyewe!
 
JPM yeye anaaisitiza kazi tu lqkini maslahi hajali kabisa.
Yaani kama vile sisi ni Punda.
Mungu hakufanya makosa kutuumba Watu na pia akatupatia punda ambao ni KAZITUU bora ale na anywe maji.
Wakati sie anatuambia HAPAKAZITUU, yeye na watu wake karibia kila siku ni sherehe za kuapishana Ikulu mpaka jumapili.
Watu (walewale) kila siku ni kukaa na kuhutubiana mambo yaleyale kisha misosi. Hizo kazi wanafanya SAA ngapi? Au kwa vile wao sio Watanzania Punda?
 
Safi Sana. Uzuri wa jpm anatembelea sera za cdm ktk kuongoza kwake. Hivyo tunategemea mitano mingine nchi itanemeeka. Au mmesahau 90% ya anayofanya magu ni agenda za cdm 2015?
 
Dunia nzma ajira ni tatizo
Lkn watoto wote wa wazito huko serikalini wanafanya kazi sekta nyeti tena kwa vimemo tu lkn tatizo la ajira linakuja kua kwa watoto wa maskini tu, wao tu ndio wakajiajiri kwa kutumia vitambulisho vya wamachinga hahahah.

Ajabu sana
 
View attachment 1530307

Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.

Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.

Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.

Sera nyingine ni kama hizi:

View attachment 1530347

View attachment 1530349

CCM must go!!
Mkuu Ankara ya Mshahara kama unayo ilani ya CHADEMA iweke hapa basi! Ni jukumu letu wadau pia kuisoma na kuielewa ili tuanze kuihubiri majumbani kwetu na kule kote tunakopita!
 
Dunia nzma ajira ni tatizo
Hapana so kweli,Ulaya na Amerika ajira ndio tatizo kwa sababu ya kukua sana kwa teknolojia,hivyo kazi za kufanywa na binadamu zinafanywa na machine na maroboti zaidi,lakini sio hapa Afrika,hususani Tanzania.
Hapa Afrika Ni mipango mibaya tu ya Sera.
Ajira zinaweza kutengenezwa.
 
Amewashinda Zitto na chama chake kichanga kuelezea pesa zitatoka wapi, nyie mnaweka ahadi tupu halafu mnajisifia.
 
View attachment 1530307

Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.

Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.

Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.

Sera nyingine ni kama hizi:

View attachment 1530347

View attachment 1530349

CCM must go!!
Yap ubunifu wa kutumia vipeperushi vya sera mbadala ni mzuri ili kila kundi lifikiwe, chadema wafanye kampeni kisayansi zaidi
 
View attachment 1530307

Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.

Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.

Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.

Sera nyingine ni kama hizi:

View attachment 1530347

View attachment 1530349

CCM must go!!
Hata 2015 hakuna wafanyakazi walioipigia kura CCM, mnafikiri Magu hajui? Ndo maana mmekula jeuri yenu.

Na mkijifanya jeuri, mwakani anawaongezea kodi ya PAYE, mumkome kabisaa.
 
alipata kura mil 3 unusu tu dhidi ya kura mil 10 alizopata mgombea wa UKAWA , haya Lowassa aliyajua na alitamka hadharani lakini baadaye akaufyata , bali usitegemee ujinga kama huo kutoka kwa Lissu , akidhulumiwa kibwege ni lazima pachimbike , hilo halina mjadala
Atachimbia nini? Hiyo shaba moja iliyobaki mguuni? Jamani tusidanganyane. Mwenye nyenzo za kuchimbia ni nani?
 
Back
Top Bottom