Masaa sita , no ametumia 5yrs kila anachohutubia nidaraja tuAnatumia masaa 6 kuonyesha daraja alilojenga
Wenye kuona mbali tunaelewa Magu anayoifanyia Tz! Mungu azidi kumthibitisha! Wapendwa vya Berkeley mnalo saana!
Acha m
Acha mawazo ya kupungu hayo! Magu tutampigia kura watz wote siyo kwa sababu ni msukuma...Bali kwa kutambua utayari wake ktk kulitumikia taifa letu kwa moyo wake wote huku akimtanguliza Mungu mbele! Mtazamo finyu Kama wako ni hatari Sana kwa nchi ya kistaalamu iliyoasisiwa na Mwl. I. I. Nyerere!
Hebu acha upungu we! Magu atapigiwa kura na watz wote siyo kwa Kuwa ni msukuma...Bali kwa kutambua utayari wake ktk kulitumikia taifa letu kwa moyo wake wote huku akimtanguliza Mungu! Mawazo ya kipumbavu ya kuangalia ukanda, ukabila, udini, nk ni upungu uliokithiri ambao hauna nafasi ktk dunia ya wastaarabu!
Watz hata vijijini kwa Sasa wanaojitambua Sana! Hawadanganywi na maneno ya kilaghai! Wameshaonja uongozi thabiti wa awamu ya tano chini ya Magu hawadanganyiki! Eti "ukionyeshe"...ebo! Kaonyesheni Basi muone na ushoga wenu Kama mtapata hata za wake zenu!Kujenga miundo mbinu mpaka kijijini itakua powa sana,sababu huko ndiko kunahitaji mabadiliko sana, nahisi watu vijijini ndio wanatulisha urban areas,....again since huko ndiko kuna wapiga kura wengi, ukiwaonyesha una nia ya kui mprove their living standards, lazima watakuchagua, Kwenye Kampeni mimi nahisi mu invest heavily kwenye kupiga kampeni vijijini...
Kingine ni Afya nimependa alichopropose mtoa mada,Wajawazito,Disabled,and the elderly wapate matibabu bure, ningependa kuadd watu wenye magonjwa sugu kama Diabetes pia wapewe kipaumbele, thanks.
Watz hata vijijini kwa Sasa wanaojitambua Sana! Hawadanganywi na maneno ya kilaghai! Wameshaonja uongozi thabiti wa awamu ya tano chini ya Magu hawadanganyiki! Eti "ukionyeshe"...ebo! Kaonyesheni Basi muone na ushoga wenu Kama mtapata hata za wake zenu!
Walijaribu Ila ngosha akafanya hajaribu!Awamu zingine taifa walikuwa hawalifanyii chochote taifa?
Yaani kama vile sisi ni Punda.JPM yeye anaaisitiza kazi tu lqkini maslahi hajali kabisa.
Dunderhead at his best .Hapo Ufipa mmeajiri watu wangapi maana Mwita Waitara alidau hata michango ya nssf ya watumishi wawili waliopo hamuiwasilishi!
Wky yeye maslahi yake ni manono kichizi.JPM yeye anaaisitiza kazi tu lqkini maslahi hajali kabisa.
Lkn watoto wote wa wazito huko serikalini wanafanya kazi sekta nyeti tena kwa vimemo tu lkn tatizo la ajira linakuja kua kwa watoto wa maskini tu, wao tu ndio wakajiajiri kwa kutumia vitambulisho vya wamachinga hahahah.Dunia nzma ajira ni tatizo
Nasikia Laptop kwa kila mwl wameshamaliza kuwagawia nchi nzima.Million 50 kila kijiji mbona changa la macho comrade?
Hivi ndivyo vitu vya muhimu sasa.3. Kurudisha Fao la Kujitoa.
4. Kushusha PAYE
5.Kushusha VAT hadi 10%
6. Kupunguza Makato ya mikopo ya wanafunzi kutoka 15% hadi 3%.
Mkuu Ankara ya Mshahara kama unayo ilani ya CHADEMA iweke hapa basi! Ni jukumu letu wadau pia kuisoma na kuielewa ili tuanze kuihubiri majumbani kwetu na kule kote tunakopita!View attachment 1530307
Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.
Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.
Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.
Sera nyingine ni kama hizi:
View attachment 1530347
View attachment 1530349
CCM must go!!
Kwa hiyo tufanyeje?Dunia nzma ajira ni tatizo
Hapana so kweli,Ulaya na Amerika ajira ndio tatizo kwa sababu ya kukua sana kwa teknolojia,hivyo kazi za kufanywa na binadamu zinafanywa na machine na maroboti zaidi,lakini sio hapa Afrika,hususani Tanzania.Dunia nzma ajira ni tatizo
Yap ubunifu wa kutumia vipeperushi vya sera mbadala ni mzuri ili kila kundi lifikiwe, chadema wafanye kampeni kisayansi zaidiView attachment 1530307
Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.
Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.
Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.
Sera nyingine ni kama hizi:
View attachment 1530347
View attachment 1530349
CCM must go!!
Hata 2015 hakuna wafanyakazi walioipigia kura CCM, mnafikiri Magu hajui? Ndo maana mmekula jeuri yenu.View attachment 1530307
Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.
Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.
Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.
Sera nyingine ni kama hizi:
View attachment 1530347
View attachment 1530349
CCM must go!!
Atachimbia nini? Hiyo shaba moja iliyobaki mguuni? Jamani tusidanganyane. Mwenye nyenzo za kuchimbia ni nani?alipata kura mil 3 unusu tu dhidi ya kura mil 10 alizopata mgombea wa UKAWA , haya Lowassa aliyajua na alitamka hadharani lakini baadaye akaufyata , bali usitegemee ujinga kama huo kutoka kwa Lissu , akidhulumiwa kibwege ni lazima pachimbike , hilo halina mjadala