Jana Kulikuwa Na Thread Yenye Kichwa Cha Habari Hicho Naona Ilifutwa. Sasa Labda Ni Mods Wamearishwa Na Mbowe Au Vipi?
Mimi Nakubaliana Na Chinga Kuwa Bwana Mbowe Ana Mkakati Wa Kumtoa Nje Ya Chadema Kiongozi Mahiri Chacha Wangwe.
Bwana Wangwe Amepania Kuuondoa Uchagga Na Ufalme Ndani Ya Chadema.
Naomba Mjadala Uendelee.
ZA WENGINE ZIKIFUTWA OOOH JF INAANDAMWA..........MBONA ZA MBOWE ZINAFUTWA....! MBOWEMANIA....!Jana Kulikuwa Na Thread Yenye Kichwa Cha Habari Hicho Naona Ilifutwa. Sasa Labda Ni Mods Wamearishwa Na Mbowe Au Vipi?
Mimi Nakubaliana Na Chinga Kuwa Bwana Mbowe Ana Mkakati Wa Kumtoa Nje Ya Chadema Kiongozi Mahiri Chacha Wangwe.
Bwana Wangwe Amepania Kuuondoa Uchagga Na Ufalme Ndani Ya Chadema.
Naomba Mjadala Uendelee.
Jana Kulikuwa Na Thread Yenye Kichwa Cha Habari Hicho Naona Ilifutwa. Sasa Labda Ni Mods Wamearishwa Na Mbowe Au Vipi?
Mimi Nakubaliana Na Chinga Kuwa Bwana Mbowe Ana Mkakati Wa Kumtoa Nje Ya Chadema Kiongozi Mahiri Chacha Wangwe.
Bwana Wangwe Amepania Kuuondoa Uchagga Na Ufalme Ndani Ya Chadema.
Naomba Mjadala Uendelee.
ZA WENGINE ZIKIFUTWA OOOH JF INAANDAMWA..........MBONA ZA MBOWE ZINAFUTWA....! MBOWEMANIA....!
Haya tena,Ukisikia mtu anajenga nyumba bila msingi na inaisha ndo haya! Ndugu yangu hii ni baseless mada!!Facts are realities, na tunahitaji facts!!
Unataka Facts zipi mkuu wetu? kama wewe ni mpenzi wa Chadema utajua kuwa kuna moto mkali kiasi MBOWE kufukuzwa masomo yake -HULL hajuti,
amejawa na hofu kubwa kuwa akiondoka tu bwana Chacha Wangwe atachukua nafasi yake ya uenyekiti.
MBOWE amekuwa akipita kila sehemu na kusema kuwa Makamu Mwenyekiti (Wangwe) hana kazi yeyote ya maana kwani anatakiwa kufanya kazi pale tu endapo bwana Mbowe atakuwa hayupo.
Baada ya bwana Mbowe kuona hana lake Chadema ndio amekuwa akijipitisha kwa kina mama wa Chadema ili apate huruma.
naomba upitie vipeperushi vya Wangwe ambavyo kila mpenzi na anayeitakia wema Chadema anavyo.
WANGWE amechoshwa kuona ruzuku zote anakula MBOWE na mkwe bwana MTEI.na wabunge wa viti maalum lazima wawe wachagga tu au wale wataokubali kulala na MBOWE.
[/B][/COLOR]
HAYA KWA MARA NYINGINE TENA......KAMA HICHO KIPEPERUSHI CHAWEZA PATIKANA..........KIWEKWE ILI HOJA IJIBIWE KWA HOJA....!
Mahesabu.
vitu hivi vya Wangwe yaani huko Chadema hadi uwe na meno ya dhahabu ndio uthaminiwe.
http://www.dailynews-tsn.com/habarileo/page.php?id=6170
kheeeeee kheeeeee heeeeeee....Eeeh!Kama kawaida Chama cha Wachagga-Chadema, kimekumbwa na gogoro heavy na mwenyekiti na Makamu wake hawaelewani.
katika hali isiyotarajiwa mtumishi wa Mbowe maarufu kama Mwanakijiji ameporomosha maneno ya kejeri kwa mheshimiwa Wangwe.
habari kamili iko kwenye redio ya Mwanakijiji au redio ya Chadema kwani ccm wanamiliki Redio Uhuru na wenzetu Chadema wamekuja na redio yao.sikiliza vitimbi vya gogoro hilo.
http://mwanakijiji.podomatic.com/entry/2008-03-24T22_32_09-07_00
kheeeeee kheeeeee heeeeeee....Eeeh!
MKJJ HUSEMA......"HOJA HUJIBIWA KWA HOJA".........!hii kali, sasa mkjj njoo ujibu shutuma.
mzee unataka kukigawa chadema? au unataka wangwe akose mshiko hio nafasi upewe wewe?
njoo uweke wazi info hapa