sio tu imekosa uelekeo bali pia ni kukosa maono ya kisiasa,View attachment 3280194
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.
Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.
Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.
Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.
Stupid. Huna akiliView attachment 3280194

Tundu Lissu alitumia nguvu nyingi kupata uongozi wa Chadema kwa hila na kashfa dhidi ya Mbowe. Lakini Lissu na Heche hawana MIKAKATI ya kuijenga CHADEMA.View attachment 3280194
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.
Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.
Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.
Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.
Mzee wa KUROPOKA kwenye ubora wake, hapa CHADEMA watakumbuka Freeman Mbowe. Waliingia choo cha mashoga, hawatoboiView attachment 3280194
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.
Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.
Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.
Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.
Lissu amejipambanua kama sio mfuasi wa siasa za mapendano wala maridhiano. RAILA ODINGA ni mwanasiasa wa siasa za mapendano, maridhiano, handshake. Je Lissu hajaona wanasiasa wa mlengo wake wa mshikemshike akazungumze nao hao?Mbowe hakuwa alfa na omega ililizamika chama kiwe transfiguration. Kulialia mbowe alikuwa bora chamani ni upuuzi mtupu, hata hawa viongozi wapya ni bora kwa nyakati zao
Mkuu hii komenti itawauma sana hata kama hawatasema! Lissu ni mwanasiasa asiye na mvuto kwenye mavazi! Anavaa hovyo hovyo!!ππππsio tu imekosa uelekeo bali pia ni kukosa maono ya kisiasa,
kwenda kuomba ushauri na mawaidha ya kinara wa kushindwa chaguzi kenya, ni kujihakikishisha nawe kushindwa daima vile vile. unategemea kujifunza nini kutoka kwa mtu alieshindwa zaidi ya kushindwa kwenyewe?
halafu hizo suti za Lisu huwa wanashonewa na fundi moja na rais museveni wa Uganda ee?
Lakini bila ya kuiba kura hamsindi.Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.
Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.
Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.
Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.
Zitaje hizo hila ili uaminike na sio utoe chuki mbovu zisizonamashiko. Huko ccm hamna uwezo wa kushindana na Lissu kwenye hoja bila ya policcm na propaganda mbovu kama demu aliyegongwa na kutolipwa mafao yake.Tundu Lissu alitumia nguvu nyingi kupata uongozi wa Chadema kwa hila na kashfa dhidi ya Mbowe. Lakini Lissu na Heche hawana MIKAKATI ya kuijenga CHADEMA.
Katengeneza kamrija kakujipatia hela kamaitwa TONETONE. Fedha kidogo tu wamepata wameanza kudhurura; last month alikuwa Uganda, mwanzoni mwa mwezi huu alikuwa Angola na jana alikuwa Kenya.
Halafu badala ya kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura yeye anawaambia NO REFORMS NO ELECTIONS.
Mwambieni hizo ni ndoto, kakuma nzi yeyote wa CDM anaweza kuzuia uchaguzi
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.
Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.
Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.
Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.
Katika watu ninaowashangaa ni Raila. Kalonzo amemsaidia miaka yote halafu anamuacha.
Mkuu hii komenti itawauma sana hata kama hawatasema! Lissu ni mwanasiasa asiye na mvuto kwenye mavazi! Anavaa hovyo hovyo!!ππππ
Ccm na chawa wake are missing their MOLE ; Mbowe!ππMzee wa KUROPOKA kwenye ubora wake, hapa CHADEMA watakumbuka Freeman Mbowe. Waliingia choo cha mashoga, hawatoboi