CHADEMA kwenda kwa Raila Odinga ni kukosa mwelekeo?

Samahani, kwani walishawahi kuwa na uelekeo wowote?!!!
Ok, nikijibu swali lako; jibu ni ndiyo!
 
Kiswahili fanya consultation ni sawa na kusoma vitabu vingi zaidi ili kujifunza maarifa! Kujua ni kitu kingine na kuyatumia ukiyojifunza ni kitu kingine!
Ingekuwa hivyo, watu wangeacha kusoma vitabu vya Hitla.
 
Zitaje hizo hila ili uaminike na sio utoe chuki mbovu zisizonamashiko. Huko ccm hamna uwezo wa kushindana na Lissu kwenye hoja bila ya policcm na propaganda mbovu kama demu aliyegongwa na kutolipwa mafao yake.
Kwa hiyo wewe demu unetoka kutiwa ? Bora uwe hujaambukizwa UKIMWI tu
 
Mbowe hakuwa alfa na omega ililizamika chama kiwe transfiguration. Kulialia mbowe alikuwa bora chamani ni upuuzi mtupu, hata hawa viongozi wapya ni bora kwa nyakati zao
Kiko wapi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…