mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Rip chadema, ndivyo hivyo tunavyokuaga huku wakuu walliokuua maksudi wakipanga namna ya kujipoza mioyo yao kutokana na majeraha uliowaachia?
Chadema leo umeiga nyendo za CCM za kuengua watia nia ujumbe na nyadhifa mbalimbali ndani yako?
Chadema leo hii umewaliza watu kwa kuwakumbusha magereza mbalimbali walizopitia walizosota kwa ajili yako?
Chadema uliepelekea kuuawa kwa Ben saa 8, azory Gwanda, alphonce mawazo , deusdedith soka nk leo hii umesahau damu za hao ndugu?
Naam, ni zamu yako chadema, baada ya TLP , NCCR na CUF ni zamu yako chadema.
Leo hii tumeona rangi harisi yako chadema, kumbe hukuwa na nia njema ispokuwa ulitanguliza maslahi ya wanaokuendesha na wala si ya wananchi kama vile ulivyojinasbu ?
Watanzania sio wajinga , wameiona rangi yako halisi CHADEMA, na kabuli lako hilo limeandaliwa maalumu ya maziko yako tar 22 mara baada ya kuidhinisha matokeo yenye damu za watu.
R.I.P chadema, wasalimie marehemu NCCR, TLP na CUF ya lipumba chadema.
Waambie wenzio Tanzania ni kijani kitupu, maana wewe na marehemu wenzako wote mlikuwa wachumia tumbo kwa mgongo wa kupigania haki ya watanzania na sio hivyo.
R.I.P chadema, tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi