Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ni imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza wanachama waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda katiba ya chama.
Hakika leo itakuwa ni siku ya historia kwa CHADEMA na pigo kwa watu wa chama fulani na mamluki wao na taasisi zote zilizohusika katika hujuma hii.
Kazi kwenu CHADEMA.
Jiandae kisaikolojia bwashee.Ni imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza wanachama waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda katiba ya chama.
Hakika leo itakuwa ni siku ya historia kwa CHADEMA na pigo kwa watu wa chama fulani na mamluki wao pamoja na taasisi zote zilizohusika katika hujuma hii iwapo CHADEMA watafanya maamuzi hayo ya kuwafukuza wasaliti hawa leo hii.
Kazi kwenu CHADEMA.
Unafuruahisha jukwaa tuNi imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza Wanachama Waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda Katiba ya chama...
Hivi bado mnataka watu wanaokwamisha maendeleo?Unafuruahisha jukwaa tu
weka makalio yako vizuri dawa ikumwagikie upate afya ya akiliHawatafukuzwa katu, na sijui utaficha wapi uso wako! Ukisikia CHADEMA ina wenyewe ndo hao sasa! Wengine ni wapiga domo tu!
Covid-19 haifukuzikiJiandae kisaikolojia bwashee.
Mzee Mtei ameagiza asifukuzwe mbunge yoyote kati ya hao 19!
Bila kujua kivipi? Kwani yy Hana haki ya kuwa mbunge? Au kwa vile ajataka kununua hizo nafasi kutoka kwa viongozi?Anayeniuma ni Nusrat hanje kaingizwa kwenye mtego bila kujua chochote...