CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo

Mdee usaliti wake ni kupeleka majina ambayo hayana wanawake wa viongozi, hapo ndio amesaliti
 
Cha kuwaokoa kutofukuzwa ni kujiuzulu ubunge tu.Nje ya hapo wakawe wabunge wa ndugai
 
Mdee usaliti wake ni kupeleka majina ambayo hayana wanawake wa viongozi, hapo ndio amesaliti
Kipindi mdee anapewa viti maalum 2005 alikua mchepuko wa kiongozi gani?

Mindset mbovu kabisa hii
 
Wewe sii mmojawapo Katika hicho kikao Cha leo?
 
Kipindi mdee anapewa viti maalum 2005 alikua mchepuko wa kiongozi gani?

Mindset mbovu kabisa hii
Kama haujui vitu kaa kimya, wala usibishe kitu ambacho ujui

Angalia uzi zangu hapa me ndio wa kwanza kuwambia chadema wako bungen wanajisajiri siku ya J2 jioni Sasa usibishe kitu ambacho ukijui
 
Hivi adhabu pekee ni kufukuzwa ?
Ziko nyingi, lakini kwa kosa hilo adhabu inayowafaa hao ni kufukuzwa chama. Mbona kama watu mnaumia wakifukuzwa? Hata hivyo usijali, watabaki na ubunge wao kwa sababu wameshaahidiwa kulindwa kwa gharama yoyote.
 
Wakati ule wanabadili gear angani hawakutizama nyie mtasemaje wala mtafanyaje pamoja na kwamba mlijiaminisha kuwa wasingeweza kuthubutu kufanya hivyo ila mwisho wa siku mkaamua tu kukubali mkapiga deki tukio likawa limepita hilo,na sasa nadhani watafanya maamuzi kwa kuangalia chama kinafaidika na hao wabunge 19 na sio kufanya maamuzi kwa kuhofia chama kitaonekanaje au nyie mtasemaje.
 
Ziko nyingi, lakini kwa kosa hilo adhabu inayowafaa hao ni kufukuzwa chama. Mbona kama watu mnaumia wakifukuzwa? Hata hivyo usijali, watabaki na ubunge wao kwa sababu wameshaahidiwa kulindwa kwa gharama yoyote.
Tangu umekuwa CHADEMA umechangia kitu gani
 
Kama haujui vitu kaa kimya, wala usibishe kitu ambacho ujui

Angalia uzi zangu hapa me ndio wa kwanza kuwambia chadema wako bungen wanajisajiri siku ya J2 jioni Sasa usibishe kitu ambacho ukijui
Mbona hii issue ilishaongelewa wiki mbili sasa, sema watu tulibisha sana tu.

Alafu kuleta hbr haimaanishi unajua mzizi bali umeona outcome tu.
 
Ndio mbaki nao huko CCM mpate huduma zao bora kabisa.
 
Mbona hii issue ilishaongelewa wiki mbili sasa, sema watu tulibisha sana tu.

Alafu kuleta hbr haimaanishi unajua mzizi bali umeona outcome tu.
Mzizi mwingine nikwambie basi
Leo wakina Mdee hawatokwenda kwenye kikao cha kamati kuu

Na Mzizi mwingine nikwambie ni kuwa kamati kuu yenyewe imeshavurugana kati ya wanaosema yes na no

Na kikao sio makao makuu Tena ni bahari Beach
 
Wewe ni msemaji wa kamati kuu?
Hata kama kusoma hujui hata alama huoni?? Umesikia kinachoendelea huko Pemba? Wanakusanya maoni ili Sefu awe makamu wa kwanza wa rais ama asiende! Tuma maoni!
 
Hoja sio ubunge kwa sababu watalindwa na hao CCM waliopanga hayo baada ya kuhujumu uchaguzi, hoja hapa ni kulinda katiba ya chama.

Chama lazima kiwafukuze ili liwe onyo kwa mpuuzi yeyote anayedhani yeye ni mkubwa kuliko chama.

Aliondoka Slaa na Zitto sembuse hawa wapuuzi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…