CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo


Chama kina wanachama milion 6 hivi hizo milioni 40 ni pesa kiasi gani kwa mwezi kwa kila mwanachama ndo wale matapishi sababu ya ruzuku mbona mabeberu wamesema bora wasaidie vyama vinavyotetea demokrasia kuliko kutoa mssada kwa serikali za kidikteta sasa wana shida gani na hizo ruzuku za kuuza utu wao pamoja na heshima yao. Hiyo aibu haiwezi kunyamaziwa ni kuwafukuza tu hakuna haja ya hiyo ruzuku
 
Yaani uvuliwe uanachama kwa kufuata kanuni na taratibu halafu bado uendelee kuwa mwanachama?

Au sheria ilibadilishwa namimi ndo sipo updated?
 
Wewe kama nani mkuu unaongea na kusema chama hakihitaji kufaidika na wasaliti? kama chama kiliweza kufaidika na mtu kama Lowassa kitashindwa vp na kufaidika na hao wasaliti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…