CHADEMA lialia tukutane hapa

CHADEMA lialia tukutane hapa

Mimi Ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA ambao kutwa Ni kulia Lia mitandaoni tu.

Mara Katiba mpya, tume huru, kukosoa mawaziri bhaasi tumemaliza ila kwenye CHADEMA hatuna demokrasia (kikomo cha miaka ya viongozi kukaa madarakani) mfano Mwenyekiti wetu yupo madarakani muda mrefu Ila ndo hatuna cha kumfanya, HAGUSIKI imekua kama UFALME.

NB: Katiba mpya haiji kwenye keyboard, tuna mikakati gani (strategically) kutimiza Hilo?
Kwani katiba ya Chadema inasemaje kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama?
 
Back
Top Bottom