Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Lissu anatosha!
Mi ni ccm lakini unawezaje kuwadanganya watu wenye access ya kuingia online YouTube, wenye WhatsApp n.k. Hii wadanganye wale watu vijijini wasiokua na smartphone
Kwani hiyo mikutano ya CDM wewe huwa unaangalia kupitia TBC au Channel 10?ndugu zangu,
hili la chadema kumnyooshea kidole Makene si sawa, ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya.
Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha ili angalau kubakiza matumaini ya makamanda.
Tusimtupie Makene mawe asiyostahili.
Nasikia ulivyokua CHADEMA ulifunua sana marinda ila Lissu alikukataa kata kata!Hakika anatosha umakamu mwenyekiti chadema
Kukiwa na nyomi mnasema siyo kigezo cha ushindi, mara hawajajiandikisha! Angalia usijisahau pia, kanuni za ccm, viti maalumu wanatakiwa kuwapigia kampeni wagombea halisi! Ukijisahau kwenye umbea huko, angalia kwenu kusidode!
Nani ataenda kutozwa sadaka kwa lazima?Ndugu zangu,
Hili la CHADEMA kumnyooshea kidole Makene si sawa. Ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya.
Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha ili angalau kubakiza matumaini ya makamanda.
Tusimtupie Makene mawe asiyostahili.
Ndugu zangu,

Jikite kwenye hojaChama chako hakipendwi ndio maana mnatumia tume ya uchaguzi kuengua wagombea kwa nguvu
Vp zile za mwananchi, Millard ayo, global online etc, nazo zimetengenezwa na chadema?Ndugu zangu,