Uchaguzi 2020 CHADEMA, Makene akiweka video zote mikutano ya kampeni live mtakata tamaa na kampeni

Uchaguzi 2020 CHADEMA, Makene akiweka video zote mikutano ya kampeni live mtakata tamaa na kampeni

Mi ni ccm lakini unawezaje kuwadanganya watu wenye access ya kuingia online YouTube, wenye WhatsApp n.k. Hii wadanganye wale watu vijijini wasiokua na smartphone
“Each time I want to fight for African rights, I use only one hand because the other hand is busy trying to keep away Africans who are fighting me.”

Kipangaspecial 2020
 
Chadema hali ni tete
Yaani Wameweka Mropokaji Kuwa Mgombea wakizani Watamsumbua Magu
Hahahaha
 
Inamaana huangalii taarifa ya habari Azam tv?Au nao wanatumia picha tofauti?
 
Halafu hizo picha hewa wanarushiana chap chap ma group ya watsap kutiana moyo badala ya kurushiana picha halisia ili washauriane kwenye groups nini kifanyike lakini kuna sababu wanaogopa mimi pia niko group la watsap la Chadema wanajua mikakati ita leak!!
Si uweke wewe
 
Kukiwa na nyomi mnasema siyo kigezo cha ushindi, mara hawajajiandikisha! Angalia usijisahau pia, kanuni za ccm, viti maalumu wanatakiwa kuwapigia kampeni wagombea halisi! Ukijisahau kwenye umbea huko, angalia kwenu kusidode!
kwani mpaka sasa nyomi zimetokea mara ngapi???
 
Ndugu zangu,

Hili la CHADEMA kumnyooshea kidole Makene si sawa. Ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya.

Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha ili angalau kubakiza matumaini ya makamanda.

Tusimtupie Makene mawe asiyostahili.
Kama walivyotuletea picha ya Lowasa kule Sumbawanga 2015 na kutudanganya eti ni Shinyanga 02/09/2020
 
Ndugu zangu,

Hili la CHADEMA kumnyooshea kidole Makene si sawa. Ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya.

Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha ili angalau kubakiza matumaini ya makamanda.

Tusimtupie Makene mawe asiyostahili.
Weka picha yako basi hapa tuione

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom