Uchaguzi 2020 CHADEMA, Makene akiweka video zote mikutano ya kampeni live mtakata tamaa na kampeni

Mi ni ccm lakini unawezaje kuwadanganya watu wenye access ya kuingia online YouTube, wenye WhatsApp n.k. Hii wadanganye wale watu vijijini wasiokua na smartphone
“Each time I want to fight for African rights, I use only one hand because the other hand is busy trying to keep away Africans who are fighting me.”

Kipangaspecial 2020
 
Chadema hali ni tete
Yaani Wameweka Mropokaji Kuwa Mgombea wakizani Watamsumbua Magu
Hahahaha
 
Inamaana huangalii taarifa ya habari Azam tv?Au nao wanatumia picha tofauti?
 
Si uweke wewe
 
Kukiwa na nyomi mnasema siyo kigezo cha ushindi, mara hawajajiandikisha! Angalia usijisahau pia, kanuni za ccm, viti maalumu wanatakiwa kuwapigia kampeni wagombea halisi! Ukijisahau kwenye umbea huko, angalia kwenu kusidode!
kwani mpaka sasa nyomi zimetokea mara ngapi???
 
Kama walivyotuletea picha ya Lowasa kule Sumbawanga 2015 na kutudanganya eti ni Shinyanga 02/09/2020
 
Weka picha yako basi hapa tuione

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…