johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchakato wa Kitu gani sasa?Mkandala hakudai katiba mpya acha uongo, yeye alidai mchakato uanze baada ya 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchakato wa Kitu gani sasa?Mkandala hakudai katiba mpya acha uongo, yeye alidai mchakato uanze baada ya 2025
Siamini na sikubaliani kuwa suluhisho la matatizo ya utawala wa nchi hii na utendaji kazi wa watawala ni mapungufu katika Katiba. Tatizo ni usimamizi wa Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu kwa dhati na uzalendo.Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA.
Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa wa CCM kutaka MARIDHIANO ili KUWAPUNGUZA NGUVU za KUDAI KATIBA MPYA.
Kumbukeni ni CCM waliovuruga BUNGE la KATIBA kwa kutaka Kuzuia RASIMU ya WARIOBA isipitishwe kuwa KATIBA MPYA
Ni CCM hiyo hiyo Chini ya DIKTETA MAGUFULI iliyosema KATIBA MPYA SIO KIPAU Mbele.
Kumbukeni ni CCM hiyo hiyo iliyomkamata Mh.Mbowe kule Mwanza wakati wa Uzinduzi wa MIKUTANO ya Kudai KATIBA MPYA na kumfungulia KESI ya UGAIDI ili KUMYAMAZISHA.
CHADEMA SHITUKENI
Rudini kwenye MIKUTANO yenu ya HADHARA kwa KUZUNGUKA Nchi nzima Kuwaelimisha WANANCHI Umuhimu wa KUDAI KATIBA MPYA
CCM inanufaika sana na KATIBA ILIYOPO.
Suala la KATIBA MPYA
"limekanyagwa "
View attachment 2595254
Exactly mkuu why utegemee watu wengine wakupiganie?,fight back kwa haki yako ,kama unaona unahitaji katiba mpya ,pigana usitegemee wengine wakupiganie otherwise shut up, miaka kibao iliyopita huko Nordic country mwanamke mmoja alipanda farasi uchi hadi katikati ya market ili kuwapigania wakazi wasipandishiwe kodi, na respects alizopata wakazi walijipanga barabarani na macho yao chini, hadi leo kuna sanamu yake na kodi haikupanda!Kwanini maridhiano ya Chadema na CCM yawazuie wengine kuidai Katiba Mpya?
Mnaonesha vile mlivyoweka matumaini yenu yote kwa Chadema, huu ndio wakati wenu kuamka, kwasababu hiyo Katiba Mpya haitakuwa ya Chadema peke yao.