Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauatangazia umma kwamba, kesho tarehe 22 Oktoba, 2025 kutakuwa na mashauri mawili Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam.
Shauri la kwanza, ni la Uhamini linalomkabli Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Antipas Lissu ambapo Mahakama Kuu itatoa uamuzi mdogo (ruling) wa mapingamizi ya Mhe. Lissu ya kupokelewa kwa ‘Flash Disk’ na Memory Card kama vielelezo kwenye kesi hiyo.
Shauri la pili, ni la maombi yaliyowasilishwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Said Issa Mohamed na wenzake wakiwai diwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. John Heche, Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika na wenzake watano pamoja na Bodi ya Wadhamini ya Chama, ambapo kesi hii itakuwa ikuwewa hatua ya kutajwa.
Kesi zote zitatazama saa tatu asubuhi.