Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Mbeya wamewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho watakaoshiriki uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kumchagua Tundu Lissu ili aweze kushika wadhifa huo.
Wakizugumza katika mkutano na wanahabari uliofayika mbeya mjini wanachama hao wamesema mbowe amefaya kazi kwa muda mrefu ndani ya chama hicho hivyo waaheshimu yote aliyoyafaya ila kwa sasa chama kinahitaji maadiliko, na mabadiliko hayo yataletwa na Tundu lissu.
Aidha wanachama hao wamewaagiza wajumbe wa mkutao mkuu wa chadema kutofanya makosa ili kuepuka kukipoteza chama hicho.
Soma: Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti