eretzisrael
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 474
Unajua maana ya neno kampen ww !!?mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu amekua akizunguka mikoa kadhaa akifanya kampeni kwa kutumia mgongo wa kutafta wadhamini, JE tume ya Uchaguzi hawaoni anavyokiuka utaratibu?
mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu amekua akizunguka mikoa kadhaa akifanya kampeni kwa kutumia mgongo wa kutafta wadhamini, JE tume ya Uchaguzi hawaoni anavyokiuka utaratibu?
Sheria liwe somo la lazima kupunguza maswali kama haya!
Sheria liwe somo la lazima kupunguza maswali kama haya!
Hivi kosa la mwingine linaleta uhalali kwa wewe kufanya kosa?Hukuona kauli ya yesu wa lugola kuhusu kuigeuza Tanzania kuwa Ulaya na tamasha la muziki Dom na Dar kiingilio BURE kumnadi yesu fake na maccm? Au kampeni zilikuwa zimeanza!? 😳😳
Acha ujinga!
1.Kuna mgombea kahonga mama mzazi kwa jogoo.Watakuja kukutukana wasubiri maana hawajafunzwa vizur na walezi wao
Afu wanavunja sheria Sana na wanaachwa,wakiulizwa wanacompare na wengine.
1.Kuna mgombea kahonga mama mzazi kwa jogoo.
2.Kuna mgombea kaahidi mil.100 kwa wauza mahindi.
3.Kuna mgombea kaitishiwa kongamano la wasanii kumnadi.
4.Kuna mgombea viongozi wa dini wameitana wakiongozwa na Alhad Mussa kumpigia kampeni.
5.Kuna mgombea baada ya kuteuliwa tu na chama chake kaandaliwa kinachoitwa "mapokezi" utafikiri ni mgeni wa Dar na alivyofika akatoa ahadi kibao na kutusi wapinzani wake
6.Kuna mgombea mwingine wa nchi ndogo ya Visiwa kapokelewa Zanzibar na kampeni zikapigwa.
Hao wote ni wa kijani, unawasemeaje na hao?
Sheria ichukue mkondo wakemgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu amekua akizunguka mikoa kadhaa akifanya kampeni kwa kutumia mgongo wa kutafta wadhamini, JE tume ya Uchaguzi hawaoni anavyokiuka utaratibu?
Naona mnatafuta pakutokea wandugu, hivi Kwa nini Ccm ni waoga kiasi hiki? Mtu ana kila rasilimali Ya nchi Ya kumwezesha kufanya kampeni, bado anaogopa mna hela zote za umma, Magari Yote ya umma, watumishi, polisi, jeshi bado kwenye Uchaguzi ukifika mnakuwa waoga kias hicho? Si mlikuwa mnatamba kuwa mko na yesu? Si mlifanya siasa pekeee yenu miaka mitano? Bado hamuamini kinachotokea?mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu amekua akizunguka mikoa kadhaa akifanya kampeni kwa kutumia mgongo wa kutafta wadhamini, JE tume ya Uchaguzi hawaoni anavyokiuka utaratibu?
Akili zenu mbovu Sana,kwa hyo tuna maraisi wangapi wanawatumikia wananchi?1.Kuna mgombea kahonga mama mzazi kwa jogoo.
2.Kuna mgombea kaahidi mil.100 kwa wauza mahindi.
3.Kuna mgombea kaitishiwa kongamano la wasanii kumnadi.
4.Kuna mgombea viongozi wa dini wameitana wakiongozwa na Alhad Mussa kumpigia kampeni.
5.Kuna mgombea baada ya kuteuliwa tu na chama chake kaandaliwa kinachoitwa "mapokezi" utafikiri ni mgeni wa Dar na alivyofika akatoa ahadi kibao na kutusi wapinzani wake
6.Kuna mgombea mwingine wa nchi ndogo ya Visiwa kapokelewa Zanzibar na kampeni zikapigwa.
Hao wote ni wa kijani, unawasemeaje na hao?
mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu amekua akizunguka mikoa kadhaa akifanya kampeni kwa kutumia mgongo wa kutafta wadhamini, JE tume ya Uchaguzi hawaoni anavyokiuka utaratibu?
mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu amekua akizunguka mikoa kadhaa akifanya kampeni kwa kutumia mgongo wa kutafta wadhamini, JE tume ya Uchaguzi hawaoni anavyokiuka utaratibu?
Isije ikawa hata Lisu ni pandikizi la ccm kuua upinzani.
Haiwezekani kuwa hajui kama anapiga kampeni, halafu anasema anajua sheria.
Ina maana amejiandaa kuwa na kesi ambazo kwa mujibu wa katiba Tume haitawajibishwa kwa kumtoa wala kuingiliwa na chombo chochote. ANAJUA
Anajua kuwa Jpm anapotembe hatembei kama mgombea bali kama rais aliyeko madarakani kwahiyo hata kama ndani yake ana kampeni yuko kwenye mwamvuli wa urais alionao. TL ANAJUA
Je hii sio kuhujumu upinzani akienguliwa?
Je sio Mamuluki wa ccm ambaye anatudanganya chini ya kanuni zao za ujasusi za " deception and Matipulation"?