Isije ikawa hata Lisu ni pandikizi la ccm kuua upinzani.
Haiwezekani kuwa hajui kama anapiga kampeni, halafu anasema anajua sheria.
Ina maana amejiandaa kuwa na kesi ambazo kwa mujibu wa katiba Tume haitawajibishwa kwa kumtoa wala kuingiliwa na chombo chochote. ANAJUA
Anajua kuwa Jpm anapotembe hatembei kama mgombea bali kama rais aliyeko madarakani kwahiyo hata kama ndani yake ana kampeni yuko kwenye mwamvuli wa urais alionao. TL ANAJUA
Je hii sio kuhujumu upinzani akienguliwa?
Je sio Mamuluki wa ccm ambaye anatudanganya chini ya kanuni zao za ujasusi za " deception and Matipulation"?