Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nimepitia kwenye account ya twitter ya John Mrema, kwa hakika anachofanya kimenifanya nistaajabu.
Mrema ni mkurugenzi wa mawasialiano na mambo ya nje wa CHADEMA, hivyo ni mtu ambae yupo supported na chama kwa 100%. Ila hiki anachofanya kimenifanya niwaze mara mbilimbili.
Anataka nusu ya followers wake wachangie shillingi elfu mbili (2000). Hapa kwa haraka haraka nikapiga hesabu hizi:
Mrema ana followers 100k (laki moja), hivyo nusu yake ni 50k(elfu hamsini). Ukichukua 50,000×2,000 = 100,000,000
Millioni mia moja. Anachotaka yeye ni kuchangia tu bila kutueleza ni kwa namna gani au gharama ya kampeni ni kiasi gani? Maana isije kuwa watu wanatafuta pesa za mtaji kwa shughuli zao nyingine.
Pia kuna jambo linanitatiza sana, sisi wafuasi wa chama tuna pesa kiasi gani hadi tuweze kuchangia chama, kuchangia wabunge karibu na madiwani karibu wote?
Kila anayegombea ubunge anataka kuchangiwa, sasa hizo pesa tunazitoa wapi?
Tuoneeni huruma.