Uchaguzi 2020 CHADEMA mchukulieni hatua John Mrema, anachofanya ni unyang'anyi

Wagombea wetu wa upinzani wanatia aibu, yani posters za kutangaza sera wao wamekalia kukusanya michango. Jamani nadini sera za chama pamoja na mgombea urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…