CHADEMA mfukuzeni Selasini na msitishe kupokea wanachama kutoka kwenye vyama vingine

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,201
Reaction score
3,345
Kuna hujuma kali sana inafanywa na mauaji kutaka kuisambaratisha CHADEMA. Hii inaonesha kabisa hawa watu sio kwamba wana nia ya kuiponya Tanzania

Wala hawajali mauaji waliyoyafanya Octoba 29
CHADEMA kuweni macho sana sana

Fukuza wote waliohongwa na kwa sasa hivi msitishe zoezi la kuwapokea wananchama wapya ikiwemo wanaotaka kurudi CHADEMA
 
Mbona kishakimbia tayari
 
Uko sahihi mkuu
 
Naomba hata muda huu kikao husika kifanye hiyo kazi.
CDM haihitaji wanachama toka vyama shikizi kufanikisha malengo yake
 
Lakini pia Wazungu ndiyo huwa waweza saidia kutoa ujinga kama wa CCM. Ila wakiitoa CCM maana yake Chadema inachukua Serikali na Rais anakuwa Lissu. Na Lissu hataki ujinga wa kuibiwa rasilimali. So wanajiuliza wakate mkono unaowalisha(CCM) kwa ajili ya CDM, ndiyo maana wanapiga kimya
 
Joseph Selasini Shao ndie mwenyekiti wa chadema taifa baada ya mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15 πŸ’
 
Kama CDM ilishindwa kufa kipindi cha Magufuli Basi kamwe hakiwezi kufa
 
Huyu wanatakiwa wamtimue mapema iwezekanavyo kabla hajasababisha mvurugano ndani ya chama. Yaani Mwenyekiti anateseka gerezani kwa zaidi ya mwaka kwa kesi ya uonevu, halafu yeye anaongelea ujinga wa maridhiano na mtu muuaji!
 
Chadema ni wapumbavu wao wanafikiri chadema lazima ijengwe na mamuluki?
 
chadema ni taasisi ya umma inayohusu waTanzania wote gentleman.

hizo zingine ni porojo na mihemko useless tu gentleman πŸ’
Upo kwenye kiwango Cha juu sanaa Cha ukataji viuno hasa ukiona post inahusu CHADEMA
 
Joseph Selasini Shao ndie mwenyekiti wa chadema taifa baada ya mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15 πŸ’
Huyu siyo kiongozi wa ngazi yoyote. Huyu nilifikiri amekuja kuongza nguvu kumbe ni mamluki. Arudi kwenye Uwenyekiti wa Parokia Pugu.
 
Huyu siyo kiongozi wa ngazi yoyote. Huyu nilifikiri amekuja kuongza nguvu kumbe ni mamluki. Arudi kwenye Uwenyekiti wa Parokia Pugu.
Gentleman,
zingatia maelezo yangu ya msingi hapo juu ili isije kua suprise wakati muafaka ukiwadia.

in fact,
Joseph Seleasini kabala ya kuingia kwenye siasa alikua mwenyekiti wa baraza la walei Jimbo kuu katoliki la Dare es salaam
 
Afukuziwe CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…