CHADEMA mfukuzeni Selasini na msitishe kupokea wanachama kutoka kwenye vyama vingine

CHADEMA mfukuzeni Selasini na msitishe kupokea wanachama kutoka kwenye vyama vingine

Upo kwenye kiwango Cha juu sanaa Cha ukataji viuno hasa ukiona post inahusu CHADEMA
Mkuu Chadema inamfanya apate buku7 kila siku. So yuko kazini mwenzio. Sisi tunapiga tu porojo ila jamaa anqpiga pesa. Bila Chadema hakuna wa kumpa hiyo buku7
 
Mtu kwake mafuriko yamesomba nyumba yake afu kapewa hifadhi na msamaria mwema afu anataka kubomoa huko alikopewa hifadhi wote wanyeshewe pasipo kujua nyumba ya jirani ipo imara mwisho wa siku atarajie aliyemhifadhi atamuelewa. Huyo ndo selasini mwenyewe.
 
Back
Top Bottom