Mkuu Chadema inamfanya apate buku7 kila siku. So yuko kazini mwenzio. Sisi tunapiga tu porojo ila jamaa anqpiga pesa. Bila Chadema hakuna wa kumpa hiyo buku7
Huyo fala akifukuzwa watampa kichwa , watu kama hawa ukiwa nao kwenye chama mnamweka pembenii kwenye kilakitu Hadi ajione kama mbwa Tu na mwisho wa siku atakimbia mwenyewe
Mtu kwake mafuriko yamesomba nyumba yake afu kapewa hifadhi na msamaria mwema afu anataka kubomoa huko alikopewa hifadhi wote wanyeshewe pasipo kujua nyumba ya jirani ipo imara mwisho wa siku atarajie aliyemhifadhi atamuelewa. Huyo ndo selasini mwenyewe.