Uchaguzi 2020 CHADEMA mfungeni Speed Governor Boniface Jacob

Tatizo chadema wamepata MJUAJI na Kimbelembele, Lisu ni MJUAJI hatari.
 
Lakini huwezi kutumia kosa kutetea kosa kama ACT wazalendo imekosea ubungo haiwezi kuwa ni sawa kwakuwa CDM imekosea Ismani. Hilo siyo jibu sahihi. Kusema watu wana ugomvi binafsi hapo pia siyo sawa hapa vyama ndivyo vimeweka wagombea wake Sasa kama chama kimoja kinamuwekea pingamizi mgombea wa chama kingine maana yake chama kinakiwekea pingamizi hicho chama kingine ndiyo maana tunasema hii siyo sawasawa.

Pia nilimsikia Membe anasema yeye alitafuta wadhamini kimya kimya kuogopa kukiuka sheria ni wazi alikuwa anamsema Tundu Lissu kumbe hata hakukuwa na hiyo sheria ya kuogopa ni vile hajuwi sheria lakini kusema hivo haikuonesha Picha nzuri kama anafahamu kwamba Tundu Lissu ni partner wake kwenye harakati za kuondoa CCM madarakani.

Hicho kitendo kinafikirisha sana kama kweli Membe ni mpinzani au amekuja kwa kazi maalum maana haiingii akilini kwanini aseme hivo na ameongea hivo mara mbili
 
Vijana CDM wame kosa mtu wa kuwa shape na kuwalea saivi, hapa ndio utaona pengo la Dr Slaa, hawa wote chini ya Dr Slaa wangekuwa wanang’aa ila saivi wote wanaonekana vichaa tu.

Achana na huyo zilipendwa wapo watu waadilifu ambao siyo wachumia tumbo kama hao madoctor bure kabisa sijawahi kuona madoctor hovyo kama wa kwenye siasa wamedhalilisha sana taaluma yao hadi watu wameona uprofesa na udoctor kwenye siasa ni Sifa ya hovyo kabisa. Mtu muadilifu anatakiwa kusimamia anachokiamini siyo kuruka ruka kutokana na njaa ya tumbo. Wako wapinzani wa kweli siyo kama huyo Dr Slaa alihamia CDM baada ya kukatwa jina CCM watu wa hivo huwa siyo wapinzani ni watu maslahi tu ndiyo maana sasa yuko CCM tena maana amekosa alichokuwa anakitafuta.
 
Vijana CDM wame kosa mtu wa kuwa shape na kuwalea saivi, hapa ndio utaona pengo la Dr Slaa, hawa wote chini ya Dr Slaa wangekuwa wanang’aa ila saivi wote wanaonekana vichaa tu.
We we ndiye kichaa, CCM inagombania vichaa? Mbona wenye chama wanakesha kushawishi vijana wa CDM kuunga juhudi na kuwapa vyeo wanawaacha nyie mataga mnakesha mitandaoni? Pumbav.
 
Acha lizame
 
Boni aka mayuku
 
Lisu nini kilimtoa NCCR?!
 
Jackob awezi ipenda ACT kwasababu yeye asemezani za Zito Kabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…