mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mwache akae nao anawafaa sana😃😃Hata IQ yake ni ndogo mno, sijui chadema walimuokota wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache akae nao anawafaa sana😃😃Hata IQ yake ni ndogo mno, sijui chadema walimuokota wapi
😀😀😀Huyu jamaa ukiondoa siasa kitu kingine anachojua ni "ku bet"
mjuba ana bet huyu sijui kama kuna mwanasiasa type hii zaid ake.
Siku ikifika ndio utajua kuwa hujui.Anazo hizo kura za kuibiwa hadi aibiwe?
Vijana CDM wame kosa mtu wa kuwa shape na kuwalea saivi, hapa ndio utaona pengo la Dr Slaa, hawa wote chini ya Dr Slaa wangekuwa wanang’aa ila saivi wote wanaonekana vichaa tu.
Nawasha mazeePusha washaaa.....
Machoko haoJacob akili yake kama ya Lisu tu
ExactlyHuyu Bonny anarukaruka tu.....mbunge wa ubungo ni Prof Kitila Mkumbo!
We we ndiye kichaa, CCM inagombania vichaa? Mbona wenye chama wanakesha kushawishi vijana wa CDM kuunga juhudi na kuwapa vyeo wanawaacha nyie mataga mnakesha mitandaoni? Pumbav.Vijana CDM wame kosa mtu wa kuwa shape na kuwalea saivi, hapa ndio utaona pengo la Dr Slaa, hawa wote chini ya Dr Slaa wangekuwa wanang’aa ila saivi wote wanaonekana vichaa tu.
Dunia haiishi vituko yaani Jacob naye anategemea atashinda Ubungo!!!!Jacob haibiwi kura na huyo ndie mbunge mpya wa Ubungo, wacheni kelele zenu.
Acha lizameKuna tatizo kubwa lipo kwa mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Mh.Boniface Jacob.
Siasa za upinzani sio za kushambuliana wenyewe kwa wenyewe, lakini anachofanya huyu kitapelekea tatizo kubwa kwa vyma hivi viwili CHADEMA na ACT.
Kwanza kabisa, kuwekewa pingamizi sio kosa bali ni utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa sheria.
Pili, mbali na kuwa wote yeye Boni na Renatus pamba ni wapinzani, lakini wanaweza kuwa na matatizo yao wenyewe binafsi .
Boniface Jacob anakituhumu chama cha ACT kumuewekea pingamizi lakini anasahau kuwa hata kule jimbo la isimani mgombea wa CHADEMA Mh. Ole Sosopi amemuwekea pingamizi mgombea wa ACT ila hakuna sehemu ACT wamekishutumu chama cha CHADEMA.
Hivyo ni wazi ndugu Boni Jacob ana siasa ambazo hazina ustaarabu ndani yake dhidi ya wengine.
Wemgi mtakumbuka kipindi mchakato wa kura za maoni jimbo la Ubungo hali ilivyokuwa na kupelekea wanachama wengi kufukuzwa sababu tu walikuwa hawamuungi mkono huyi Boni Jacob.
Anasahau kuwa haiwezekani kila mwanachama akuunge mkono. Ndugu Boni Jacob akafanya kila namna ya kufukuzwa uanachama hawa watu. CHADEMA linisuru jimbo la Ubungo kwa kukaa chini na huyu jamaa aache siasa anazokwenda nazo.
Kuna tatizo kubwa lipo kwa mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Mh.Boniface Jacob.

Lisu nini kilimtoa NCCR?!Achana na huyo zilipendwa wapo watu waadilifu ambao siyo wachumia tumbo kama hao madoctor bure kabisa sijawahi kuona madoctor hovyo kama wa kwenye siasa wamedhalilisha sana taaluma yao hadi watu wameona uprofesa na udoctor kwenye siasa ni Sifa ya hovyo kabisa. Mtu muadilifu anatakiwa kusimamia anachokiamini siyo kuruka ruka kutokana na njaa ya tumbo. Wako wapinzani wa kweli siyo kama huyo Dr Slaa alihamia CDM baada ya kukatwa jina CCM watu wa hivo huwa siyo wapinzani ni watu maslahi tu ndiyo maana sasa yuko CCM tena maana amekosa alichokuwa anakitafuta.