Hakuna siku ambayo sijakumbana na post inayohusu CDM, iwe kwa mabaya au mazuri...
nlikua natania ndugu
Hapahapa inafaa kwani CHADEMA imekuwa JF au DiNi mpaka mtu aambiwe ataje hotel waliyokula hao waomba Mwongozo?Toka lini chit chat likawa jukwaa la utani?
Peleka kunakohusika