1. Jeshi hili sidhani kama yupo anayependa kufa......................
2. Tutasindikiza masanduku ya kura kuna watu wanajifanya mahayawani..................
View attachment 3447243
View attachment 3447245
Bahati nzuri Muliro atalinda masanduku ya kura kwa maana yatakua tupu. Kura tunabaki nazo nyumbani.Wote tunajua kuwa role ya polisi kwenye uchaguzi ni kuingiza kura za wizi vituoni hivyo huyo j4 anaposema ujinga wake tumpuuze tu. Wenye akili timamu tutazilinda kura zetu kwa kubaki nazo wenyewe na kendelea na shughuli zetu siku hiyo ya igizo la uchaguzi.
Kura za ndani ya chama mbona feki zilizagaa kama manyoya ya kuku mtaani na hawakuzilinda ? Na malalamiko yalijaa kila kona ?1. Jeshi hili sidhani kama yupo anayependa kufa......................
2. Tutasindikiza masanduku ya kura kuna watu wanajifanya mahayawani..................
View attachment 3447243
View attachment 3447245
Sasa kura zetu tukibaki nazo nyumbani mtasindikiza kura zipo?😄1. Jeshi hili sidhani kama yupo anayependa kufa......................
2. Tutasindikiza masanduku ya kura kuna watu wanajifanya mahayawani..................
View attachment 3447243
View attachment 3447245
IQ yake = urojoWe Kwa Kumuangalia Tu,unadhani IQ Yake Ni Ngapi ?
Mtu Alitakiwa Awe Anachoma Matanuru,amepewa Cheo Hicho.