Chadema (Mh Heche) yatolee tamko maneno haya ya Mulilo leo katika mkutano wa amani katika (uchafuzi" ujao

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. Jeshi hili sidhani kama yupo anayependa kufa......................

2. Tutasindikiza masanduku ya kura kuna watu wanajifanya mahayawani..................

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Wote tunajua kuwa role ya polisi kwenye uchaguzi ni kuingiza kura za wizi vituoni hivyo huyo j4 anaposema ujinga wake tumpuuze tu. Wenye akili timamu tutazilinda kura zetu kwa kubaki nazo wenyewe na kendelea na shughuli zetu siku hiyo ya igizo la uchaguzi.
 
1. Jeshi hili sidhani kama yupo anayependa kufa......................

2. Tutasindikiza masanduku ya kura kuna watu wanajifanya mahayawani..................

View attachment 3447243

View attachment 3447245

Mhuni mwingine tu huyu. Sasa kilichowashinda kulinda huko nyuma na sasa ni kipi mpaka wasubiri huu uchaguzi?

Polepole aendelee kumwaga tu sumu. Hawa Wahuni wanafikiri kuwa hii nchi ni yao peke yao.
 
Bahati nzuri Muliro atalinda masanduku ya kura kwa maana yatakua tupu. Kura tunabaki nazo nyumbani.
 
Afunguliwe kesi tu na maneno ya kudhamiria kuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…