Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Kweli Rais Samia ni Profesa wa siasa. CHADEMA inakufa hivi hivi. Ikumbukwe siasa ni Imani na ni Itikadi. Salamu katika siasa inabeba falsafa ya chama kama ilivyo salamu za dini. Huwezi kuingia msikitini ukasalimia "Bwana Asifiwe". Hiki kitatokea Moshi.
Ni utaratibu wa kawaida Rais wa nchi anapokuwepo mahali fulani hususan mikutano ya Nje ni lazima viongozi wa chama chake ngazi ya Wilaya na Mkoa nao wawepo na hata wabunge pia. Na pia ni lazima kiprotokali wapewe nafasi ya kusalimia na sare zao za kijani.
Nimechungulia ratiba. Nafasi hiyo ipo na viongozi wa CCM nao watasalimia. Kama kawaida salamu Yao no "CCM Oyeeee....mnaitikia "oyeee". Hawatosema "People eeeeees, hapana. Kwa hiyo Chadema huu ni mtihani kwenu na kipimo Cha Itikadi na Imani yenu. Samia ana akili kama mchwa.