kirumbiu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 640
- 702
Nyerere ulimwona wapi alivaa sare za kijani waliompokea wameshindwa kutofautisha kuwa yeye ni rais wa woteKuna nchi kusini mwa africa rais hatakiwi kuvaa sare ya chama chake anapokuwa kwenye shughuli za kitaifa.