CHADEMA mjiandae kuitikia salamu ya "CCM Oyeeee" kesho!

Kuna nchi kusini mwa africa rais hatakiwi kuvaa sare ya chama chake anapokuwa kwenye shughuli za kitaifa.
Nyerere ulimwona wapi alivaa sare za kijani waliompokea wameshindwa kutofautisha kuwa yeye ni rais wa wote
 
Vitu vidogo vidogo hivyo, kama kakubali Katiba mpya hata akitaka tutambeba hadi Ikulu.
Mchakato wa Katiba mpya siyo jambo la miaka 2 ni 3 kuendelea hivyo 2025... bado itatumika hii ya 1977 labda mdai ile Katiba ya Samia aliyolipa Bunge la Samuel Sita ambayo hamuitaki.

Mchato ukianza 2029 utaingia 2030 hamjaipata, naye rais mpya (kutoka CCM) atasema siyo kipaumbele chake.

Tibaijuka alisema Katiba.mpya ya nini? Wadai marekebisho ya hii hii ya 1977.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
PEOPLES! POWEEER! Huo ndio mpango mzima Mzee; mgeni rasmi ameshaandaliwa! Ukiwa Roma ishi kama waroma!
 
Nyerere ulimwona wapi alivaa sare za kijani waliompokea wameshindwa kutofautisha kuwa yeye ni rais wa wote
Kumbe we mvulana nilidhani mwanaume. Yani hujawahi kumuona Mwl amevas kijani mabaka akiendesha CC?
 
Kumbe we mvulana nilidhani mwanaume. Yani hujawahi kumuona Mwl amevas kijani mabaka akiendesha CC?
Cc ni kikao Cha ndani siyo kwenye majukwaa analivyokuwa Kwa raia alibaki kama rais au wewe unamwona mwaka 1995 ameshangatuka mie nasema wakati akiwa madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…