Uchaguzi 2020 CHADEMA mkimsimamisha Lissu najiunga na chama chenu

Mkuu karibu sana kwenye siasa za upinzani
Umestaarabika ndugu. Mie niliondoka CCM baada ya kuona dalili za mambo ya ajabu mwaka 2017.
Nilijipa muda wa kuwasoma vizuri na nikajiridhisha kuwa chini ya sera za kijamaa kamwe hatuwezi pata maendeleo ya kweli ya watu na vitu. Ni ulaghai tu huku viongozi wakuu ndo wakijineemisha
 
Mimi ni mwanachama wa CCM. Sio mwanachama maslahi au mwanachama fuata upepo, la hasha Bali mwanachama mwanzilishi hata kama nilijiunga 1978 mwaka mmoja tokea ianzishwe.

Ninafuatilia sana siasa za chama chetu, lakini niseme wazi kuwa tokea mwaka 2016 muda tuu baada ya awamu ya tano kushika hatamu CCM yetu imepotea na kuja kikundi cha aina Fulani kuigeuza CCM yetu kutoka chama chenye heshima na utu na kuwa cha kihuni, uongo na tabia za kihalifu.

Shuhudia chaguzi za serikali yetu na sasa chaguzi zetu za ndani ya chama! Ni uhuni na rushwa ya hali ya juu haijapata kutokea tangu chama kianze.

Uongo ndio usiseme, ona tunabuni mpaka kupanga watu kutoa zawadi eti za jogoo njiani kwa Rais? Kweli Rais anaweza kupewa tuu barabarani jogoo na akampokea mikononi bila kujulikana usalama wa zawadi hiyo?

Sasa kwa ujinga unaoendelea kwa chama changu natangaza rasmi binafsi kujiunga na Chadema kama watamsimamisha Tundu Lissu kugombea Urais ili nimpe kura yangu.

Nategemea wengi ndani ya CCM wataniunga mkono kwa sababu za Lissu zifuatazo;

*Anaheshimu Katiba na sheria.
*Sio muongo anapenda ukweli
*Ana uelewa mkubwa wa ndani na nje ya nchi.
*Anaheshimu Utu wa mwanadamu
*Hana roho ya visasi.

OMBI;
Tanzania ni yetu, kuiacha tena miaka mitano mingine ipotee kama hii iliyopita ni kuitafuta laana ya vizazi vijavyo. Tuungane tufanye mabadiliko chanya, vyama ni vya kupita tuu lakini taifa lipo palepale. Chadema watuletee Lissu nasi tumpe kura.
Wasalaam aleikum!

View attachment 1522282
Wewe ni muhenga humu JF bila shaka utatimiza adhma yako hii..

Kila la kheri!
 
Nenda kachukue kadi ya CDM ofisi yoyote ya CDM iliyo karibu nawe.
 
Karibu sana Mkuu, imekuwa kweli sala zetu wajumbe wamezifanyia kazi. #NiYeye2020

Amewahadaa watu sana kwa post hii huyu mchadema. Lakini kwangu ni big NO. Maandishi ya wanachadema wote yanafanana. Kwa maana hiyo basi akawahadae wasiojielewa na propaganda zake za kizamani. Mtoa Mada ni Lichadema la miaka yote. Na halijawahi kuwa CCM ...
why unashindwa kuelewa utashi wa mtu ,mtoa mada kwa maoni yake ameongea anacho kifikiria , na kwa mfano hata angekua chama gani anamuogopa nani , hajatukana mtu, hajakashifu mtu , na mada yake kaitoa kwa unyenyekevu na bado karuhusu mjadala huru ,kwamaba kama una hoja ya kuzungumza leta yuko tiyar mjadili ,hawa ndo watu nawakubali na kuwaeshim siku zote na ni jambo hili tu tunakosea watumia mitandao, kwamba watu wapingane kwa hoja badala ya matus na kebegh
 
Mimi ni mwanachama wa CCM. Sio mwanachama maslahi au mwanachama fuata upepo, la hasha Bali mwanachama mwanzilishi hata kama nilijiunga 1978 mwaka mmoja tokea ianzishwe.

Ninafuatilia sana siasa za chama chetu, lakini niseme wazi kuwa tokea mwaka 2016 muda tuu baada ya awamu ya tano kushika hatamu CCM yetu imepotea na kuja kikundi cha aina Fulani kuigeuza CCM yetu kutoka chama chenye heshima na utu na kuwa cha kihuni, uongo na tabia za kihalifu.

Shuhudia chaguzi za serikali yetu na sasa chaguzi zetu za ndani ya chama! Ni uhuni na rushwa ya hali ya juu haijapata kutokea tangu chama kianze.

Uongo ndio usiseme, ona tunabuni mpaka kupanga watu kutoa zawadi eti za jogoo njiani kwa Rais? Kweli Rais anaweza kupewa tuu barabarani jogoo na akampokea mikononi bila kujulikana usalama wa zawadi hiyo?

Sasa kwa ujinga unaoendelea kwa chama changu natangaza rasmi binafsi kujiunga na Chadema kama watamsimamisha Tundu Lissu kugombea Urais ili nimpe kura yangu.

Nategemea wengi ndani ya CCM wataniunga mkono kwa sababu za Lissu zifuatazo;

*Anaheshimu Katiba na sheria.
*Sio muongo anapenda ukweli
*Ana uelewa mkubwa wa ndani na nje ya nchi.
*Anaheshimu Utu wa mwanadamu
*Hana roho ya visasi.

OMBI;
Tanzania ni yetu, kuiacha tena miaka mitano mingine ipotee kama hii iliyopita ni kuitafuta laana ya vizazi vijavyo. Tuungane tufanye mabadiliko chanya, vyama ni vya kupita tuu lakini taifa lipo palepale. Chadema watuletee Lissu nasi tumpe kura.
Wasalaam aleikum!

View attachment 1522282
Mimi nakushauri urudi tena DARASANI ukasome siasa kwani point zako wala hazina mashiko....
Kweli mtu mzima umetoka wapi na jogoo??? kwani ndiye Raisi wa kwanza kupewa Jogoo??: Maraisi wangapi wamepewa Jogoo, Mbuzi, Ngombe nk au Wajumbe wamekushika pabaya?
Kwa taarifa yako hata yule jogoo hakupewa yeye; aliambiwa apelekee mama yake.... Pole! nakushauri usiteseke bure; ufuate moyo wako kule unako penda !!! Peoples!!!
 
Mimi ni mwanachama wa CCM. Sio mwanachama maslahi au mwanachama fuata upepo, la hasha Bali mwanachama mwanzilishi hata kama nilijiunga 1978 mwaka mmoja tokea ianzishwe.

Ninafuatilia sana siasa za chama chetu, lakini niseme wazi kuwa tokea mwaka 2016 muda tuu baada ya awamu ya tano kushika hatamu CCM yetu imepotea na kuja kikundi cha aina Fulani kuigeuza CCM yetu kutoka chama chenye heshima na utu na kuwa cha kihuni, uongo na tabia za kihalifu.

Shuhudia chaguzi za serikali yetu na sasa chaguzi zetu za ndani ya chama! Ni uhuni na rushwa ya hali ya juu haijapata kutokea tangu chama kianze.

Uongo ndio usiseme, ona tunabuni mpaka kupanga watu kutoa zawadi eti za jogoo njiani kwa Rais? Kweli Rais anaweza kupewa tuu barabarani jogoo na akampokea mikononi bila kujulikana usalama wa zawadi hiyo?

Sasa kwa ujinga unaoendelea kwa chama changu natangaza rasmi binafsi kujiunga na Chadema kama watamsimamisha Tundu Lissu kugombea Urais ili nimpe kura yangu.

Nategemea wengi ndani ya CCM wataniunga mkono kwa sababu za Lissu zifuatazo;

*Anaheshimu Katiba na sheria.
*Sio muongo anapenda ukweli
*Ana uelewa mkubwa wa ndani na nje ya nchi.
*Anaheshimu Utu wa mwanadamu
*Hana roho ya visasi.

OMBI;
Tanzania ni yetu, kuiacha tena miaka mitano mingine ipotee kama hii iliyopita ni kuitafuta laana ya vizazi vijavyo. Tuungane tufanye mabadiliko chanya, vyama ni vya kupita tuu lakini taifa lipo palepale. Chadema watuletee Lissu nasi tumpe kura.
Wasalaam aleikum!

View attachment 1522282
Umeshachukua kadi ?
 
MKuu najua ushajiunga, tuonyeshe kadi basi au hata screenshort kama umetumia chadema app online kujiunga.
 
Mimi mtaani kwangu sasa cha moto wanakiona.. ni Lissu tu. Mpaka October nitahakikisha kimtaa kizima kinampigia kura Lissu.
 
Nakuja kama tuu mtajitendea haki na kumuweka mgombea sahihi.
Na sio Mimi pekee, wenye kadi wengi za ccm lakini ni watumishi wa umma, wastaafu, wanafunzi na vijana wasomi walio maliza elimu za juu bila serikali hii kuwajali hakika KURA ZOTE KWA LISSU
kamanda sasa ndio muda wa kujiunga chama la wana, umeamini sasa! Karibu mno mno
 
Mimi ni mwanachama wa CCM. Sio mwanachama maslahi au mwanachama fuata upepo, la hasha Bali mwanachama mwanzilishi hata kama nilijiunga 1978 mwaka mmoja tokea ianzishwe.

Ninafuatilia sana siasa za chama chetu, lakini niseme wazi kuwa tokea mwaka 2016 muda tuu baada ya awamu ya tano kushika hatamu CCM yetu imepotea na kuja kikundi cha aina Fulani kuigeuza CCM yetu kutoka chama chenye heshima na utu na kuwa cha kihuni, uongo na tabia za kihalifu.

Shuhudia chaguzi za serikali yetu na sasa chaguzi zetu za ndani ya chama! Ni uhuni na rushwa ya hali ya juu haijapata kutokea tangu chama kianze.

Uongo ndio usiseme, ona tunabuni mpaka kupanga watu kutoa zawadi eti za jogoo njiani kwa Rais? Kweli Rais anaweza kupewa tuu barabarani jogoo na akampokea mikononi bila kujulikana usalama wa zawadi hiyo?

Sasa kwa ujinga unaoendelea kwa chama changu natangaza rasmi binafsi kujiunga na Chadema kama watamsimamisha Tundu Lissu kugombea Urais ili nimpe kura yangu.

Nategemea wengi ndani ya CCM wataniunga mkono kwa sababu za Lissu zifuatazo;

*Anaheshimu Katiba na sheria.
*Sio muongo anapenda ukweli
*Ana uelewa mkubwa wa ndani na nje ya nchi.
*Anaheshimu Utu wa mwanadamu
*Hana roho ya visasi.

OMBI;
Tanzania ni yetu, kuiacha tena miaka mitano mingine ipotee kama hii iliyopita ni kuitafuta laana ya vizazi vijavyo. Tuungane tufanye mabadiliko chanya, vyama ni vya kupita tuu lakini taifa lipo palepale. Chadema watuletee Lissu nasi tumpe kura.
Wasalaam aleikum!

View attachment 1522282
Mimi binafsi nilikua mwana CCM 2015 nilipiga sana kampeni kuakikisha chama chetu kinashinda tangu jana baada ya kumpitisha Lisu nimehamia Chadema sababu kubwa ya kuhama ccm kwenda Chadema kuna sehemu niliachishwa kazi nimefanya kazi muda mrefu MWAKAJANA JANA nikajaza form ili nichukue mafao yangu nipate mtaji nijiajiri cha ajabu hadi leo hakuna hata mia nimewekewa kwenye acount yangu ni zaidi ya mwaka sijalipwa mafao yangu, Nakuomba Mh Lisu ukiingia ikulu akikisha tunalipwa pesa zetu kura yangu nakupa na familia yangu tutakupa
 
.... ..
Nadhani Lissu na serikali yake haitaweka visasi, naye ajitokeze tuu kama Mimi na wengine
Hili ni muhimu Sana Lissu ajue, au afahamishwe. Visasi ni sumu. Atangaze mapema kuwa hatafanya visasi vyovyote
 
Back
Top Bottom