Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki chama ni cha wapigaji tu mkuu!! Ruzuku ya zaidi ya 1B kwa mwaka kwa miaka 5 yote wamepiga wajuaji nyumbu wapo tu huku kwenye mitandao.
Ila Mungu Yuko na nani, ccm?Ndiyo maana Mungu hayuko nao kwa maana Mungu hawezi kusimama na wanafiki
wewe hauko na hawa atiKatika eneo la kijijini ambapo zipo nyumba za tembe nyingi hii mbona ni ofisi nzuri tu. Hebu tuonyeshe nyumba zilizopo karibu na ofisi hii.
CCM kama iliona fahari kuweka umeme katika nyumba za tembe, ni nini cha ajabu hapa!? Nyumba kama hizi sehemu nyingi za vijijini ni za kawaida sana. Pengine chenye kupaswa kuchutama ni chama tawala.
Wavaa majani ya pamba mfanyeje🚶
Kinachoongelewa hapo ni kutelekezwa kwa hiyo ofisi pichani.Katika eneo la kijijini ambapo zipo nyumba za tembe nyingi hii mbona ni ofisi nzuri tu. Hebu tuonyeshe nyumba zilizopo karibu na ofisi hii.
CCM kama iliona fahari kuweka umeme katika nyumba za tembe, ni nini cha ajabu hapa!? Nyumba kama hizi sehemu nyingi za vijijini ni za kawaida sana. Pengine chenye kupaswa kuchutama ni chama tawala.
Siku zote CHADEMA wanaenda kinyume ha maumbile- wanaweza kuhamasisha watu kukusanya mawe kwa ajili ya kuwapopoa polisi lakini hawawezi kuhamasisha watu walewale kukusanya mawe kujenga ofisi zaoKinachoongelewa hapo ni kutelekezwa kwa hiyo ofisi pichani.
Sio suala la mjengo bali uhai wa chama pendwa!
Hukuwa na sababu ya kuwajibu hawa na mada zao za kimkakati mbengeKatika eneo la kijijini ambapo zipo nyumba za tembe nyingi hii mbona ni ofisi nzuri tu. Hebu tuonyeshe nyumba zilizopo karibu na ofisi hii.
CCM kama iliona fahari kuweka umeme katika nyumba za tembe, ni nini cha ajabu hapa!? Nyumba kama hizi sehemu nyingi za vijijini ni za kawaida sana. Pengine chenye kupaswa kuchutama ni chama tawala.
Ofisi zao zipo mioyoni na kwenye simu mjomba[emoji16]Hiki chama ni cha wapigaji tu mkuu!! Ruzuku ya zaidi ya 1B kwa mwaka kwa miaka 5 yote wamepiga wajuaji nyumbu wapo tu huku kwenye mitandao.
Ofisi zao zipo mioyoni na kwenye simu mjomba[emoji16]
Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Mbona unapanic unaropoka ropoka? shemela hakulishi muhogo vizuri nini?Kwani hatustahili kuwa humu siyo? sishangai maana kwenu CHADEMA kwa sera yenu ya ushoga ni sawa tu wanawake tukitoweka mnamalizana wenyewe