CHADEMA mkishikwa pabaya muwe mnachutama tu

CHADEMA mkishikwa pabaya muwe mnachutama tu

images.jpeg
 
ni sawa kabisa sisi tunajikubali siyo nyie mnasema hamna shida na ofisi mnajenga chama kwenye mioyo ya watu- hapo ndipo tunapo tofautiana.
Ohoo umeshapindisha maneno tena
 
Hilo jengo mbona linaonekana nila zamani sana na halitumiki.au ulitaka wakuite ufute hayo maandishi?.Ccm yenyewe pamoja nakua na vitega uchumi kibao walivyovipora bado ata yenyewe haina majengo ya maana uko vijijini.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom