Chadema kina wabunge wangapi nchi nzima?Kumbe umekua ukipiga kelele za siasa lakini siasa yenyewe huijui kiasi hiki. Ndiyo maana hata hoja za msingi wanazozitoa watu siyo rahisi ukazielewa, hujui kitu. Viti maalumu havitegemei idadi ya wabunge, vinategemea % ya kura za wabunge ambazo chama kimepata nchi nzima. CHADEMA kimepata zaidi ya 5% ni kama 13% hivi. Hivyo kina sifa ya kupata wabunge wa viti maalumu zaidi ya 15.
Kina mbunge mmoja. Mkuu viti maalumu haviangalii idadi ya wabunge. Ili chama kipate sifa ya kupata wabunge wa viti maalumu ni kupata angalau 5% ya kura walizopigiwa wabunge wake nchi nzima. Yaani idadi ya kura za wabunge ambazo chama kimepata nchi nzima zitengeneze angalau 5%.Chadema kina wabunge wangapi nchi nzima?
Nimeelewa mkuu!Kina mbunge mmoja. Mkuu viti maalumu haviangalii idadi ya wabunge. Ili chama kipate sifa ya kupata wabunge wa viti maalumu ni kupata angalau 5% ya kura walizopigiwa wabunge wake nchi nzima. Yaani idadi ya kura za wabunge ambazo chama kimepata nchi nzima zitengeneze angalau 5%.
Sasa CHADEMA ina asilimia zaidi ya 13 ya kura za wabunge, narudia tena ASILIMIA YA KURA ZA WABUNGE NCHI NZIMA. Chama kinaweza kisipate mbunge hata mmoja lakini kikawa na asilimia zaidi ya 5% ya kura walizopigiwa WABUNGE wake kikawa na sifa ya kupata viti maalumu.
Sasa CHADEMA kura walizopigiwa wabunge wake zinatengeneza kama 13% hivi, ni zaidi ya ile minimum requirement ya 5%. Kitapata wabunge wa viti maalumu zaidi ya 15. Utulie uwe unaeleweshwa, umekua unapinga mambo mengi kumbe tatizo ni kutojua. Elewa kwamba hata wabunge walioshindwa hawajapata zero, wana kura. Sasa hizo kura zinatengeneza idadi na zina asilimia kwenye kura za wabunge wote nchi nzima.
Karibu sana. Ni wachache wenye kukiri kwamba wameelewa kile walichokua hawaelewi.Nimeelewa mkuu!
Akili za kilopher ndio zilipokufikisha hapo ulipo. Utaanzisha nyuzi za kila aina ila kaa ujue hata meko alishakujua kuwa unatafuta uteuzi huna lolote zaidi ya njaa tu.Naunga mkono hoja, Chadema, hapa walipo tayari they are half dead, wakisusa kutoa ushirikiano kwa Mbunge wao wa ngama, na kususia kuteua wabunge wa viti maalum, then kwa Chadema, that will be the final fenale, Chadema itakuwa finito, totally kwishney, their only place will be 6ft under!.
Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?
Wanabodi, Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...www.jamiiforums.com
Watu tunakesha humu kuwaombea uteuzi, kumbe wenzetu wanapanga kususa!.
Hawajajifunza kilichowapata CUF na sasa ACT kususa ile 2016?.
Kama ni kususa, suseni ila msije kujuta...
P
Ccm gafula wameanza kuwa na mapenzi na chadema kupitia viti maalumu kwanini?Upuuzi huo CCM so wametumia gharama kubwa kuua upinzani Sasa mapenzi ya ghafla na upinzani yanatoka wapi?
Hiyo Ni mbinu ya divide and rule ikimlenga mbowe na Lissu tu, ili wabunge wa viti maalum wakiingia bungeni washawishiwe kuunga juhudi, kwa kuhongwa ili kuhalalisha ushetani wa ccm na nec
Sasa kama wakisusa hamna shida mnaangaika na chadema kwanini?Nyie msuse tu, Maalim Seif na cuf walisusa 2015 lakini serikali ya mapinduzi ya Zanzibar iliwapotezea ikaendelea kuwaletea maendeleo wananchi. Chadema hamna madhara mkisusa SHAURI YENU
Unakipenda sana chadema.Naunga mkono hoja, Chadema, hapa walipo tayari they are half dead, wakisusa kutoa ushirikiano kwa Mbunge wao wa ngama, na kususia kuteua wabunge wa viti maalum, then kwa Chadema, that will be the final fenale, Chadema itakuwa finito, totally kwishney, their only place will be 6ft under!.
Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?
Wanabodi, Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...www.jamiiforums.com
Watu tunakesha humu kuwaombea uteuzi, kumbe wenzetu wanapanga kususa!.
Hawajajifunza kilichowapata CUF na sasa ACT kususa ile 2016?.
Kama ni kususa, suseni ila msije kujuta...
P
Upuuzi huo CCM so wametumia gharama kubwa kuua upinzani Sasa mapenzi ya ghafla na upinzani yanatoka wapi?
Hiyo Ni mbinu ya divide and rule ikimlenga mbowe na Lissu tu, ili wabunge wa viti maalum wakiingia bungeni washawishiwe kuunga juhudi, kwa kuhongwa ili kuhalalisha ushetani wa ccm na nec
Puppet Mayala, usikeshe kuwaombea uteuzi wapinzani. Ni afadhali ungekesha kujiombea mwenyewe ili urudi kwenye akili yako ya kawaida.Naunga mkono hoja, Chadema, hapa walipo tayari they are half dead, wakisusa kutoa ushirikiano kwa Mbunge wao wa ngama, na kususia kuteua wabunge wa viti maalum, then kwa Chadema, that will be the final fenale, Chadema itakuwa finito, totally kwishney, their only place will be 6ft under!.
Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?
Wanabodi, Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...www.jamiiforums.com
Watu tunakesha humu kuwaombea uteuzi, kumbe wenzetu wanapanga kususa!.
Hawajajifunza kilichowapata CUF na sasa ACT kususa ile 2016?.
Kama ni kususa, suseni ila msije kujuta...
P
Hahaha CCM wametumia gharama kubwa wapi jomba..mnachekesha mnadhani wananchi hawaelewi wanachoamua...usiwachukulie poa watanzania..wanauwezo wa kupima na kuamua Nani ni Nani...endeleeni kusingizia CCM Kama vile hamnazoUpuuzi huo CCM so wametumia gharama kubwa kuua upinzani Sasa mapenzi ya ghafla na upinzani yanatoka wapi?
Hiyo Ni mbinu ya divide and rule ikimlenga mbowe na Lissu tu, ili wabunge wa viti maalum wakiingia bungeni washawishiwe kuunga juhudi, kwa kuhongwa ili kuhalalisha ushetani wa ccm na nec