Kumbe umekua ukipiga kelele za siasa lakini siasa yenyewe huijui kiasi hiki. Ndiyo maana hata hoja za msingi wanazozitoa watu siyo rahisi ukazielewa, hujui kitu. Viti maalumu havitegemei idadi ya wabunge, vinategemea % ya kura za wabunge ambazo chama kimepata nchi nzima. CHADEMA kimepata zaidi ya 5% ni kama 13% hivi. Hivyo kina sifa ya kupata wabunge wa viti maalumu zaidi ya 15.
Kina mbunge mmoja. Mkuu viti maalumu haviangalii idadi ya wabunge. Ili chama kipate sifa ya kupata wabunge wa viti maalumu ni kupata angalau 5% ya kura walizopigiwa wabunge wake nchi nzima. Yaani idadi ya kura za wabunge ambazo chama kimepata nchi nzima zitengeneze angalau 5%.
Sasa CHADEMA ina asilimia zaidi ya 13 ya kura za wabunge, narudia tena ASILIMIA YA KURA ZA WABUNGE NCHI NZIMA. Chama kinaweza kisipate mbunge hata mmoja lakini kikawa na asilimia zaidi ya 5% ya kura walizopigiwa WABUNGE wake kikawa na sifa ya kupata viti maalumu.
Sasa CHADEMA kura walizopigiwa wabunge wake zinatengeneza kama 13% hivi, ni zaidi ya ile minimum requirement ya 5%. Kitapata wabunge wa viti maalumu zaidi ya 15. Utulie uwe unaeleweshwa, umekua unapinga mambo mengi kumbe tatizo ni kutojua. Elewa kwamba hata wabunge walioshindwa hawajapata zero, wana kura. Sasa hizo kura zinatengeneza idadi na zina asilimia kwenye kura za wabunge wote nchi nzima.

Wakiingia bungeni maana yake watahalalisha uchaguzi feki., ata wakiingia huko bungeni wataenda kunyanyaswa tu nakukaangwa tu.. bora mara100 waachane nalo
Naunga mkono hoja, Chadema, hapa walipo tayari they are half dead, wakisusa kutoa ushirikiano kwa Mbunge wao wa ngama, na kususia kuteua wabunge wa viti maalum, then kwa Chadema, that will be the final fenale, Chadema itakuwa finito, totally kwishney, their only place will be 6ft under!.
Wanabodi, Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...
www.jamiiforums.com
Watu tunakesha humu kuwaombea uteuzi, kumbe wenzetu wanapanga kususa!.
Hawajajifunza kilichowapata CUF na sasa ACT kususa ile 2016?.
Akili za kilopher ndio zilipokufikisha hapo ulipo. Utaanzisha nyuzi za kila aina ila kaa ujue hata meko alishakujua kuwa unatafuta uteuzi huna lolote zaidi ya njaa tu.
Upuuzi huo CCM so wametumia gharama kubwa kuua upinzani Sasa mapenzi ya ghafla na upinzani yanatoka wapi?
Hiyo Ni mbinu ya divide and rule ikimlenga mbowe na Lissu tu, ili wabunge wa viti maalum wakiingia bungeni washawishiwe kuunga juhudi, kwa kuhongwa ili kuhalalisha ushetani wa ccm na nec
Nyie msuse tu, Maalim Seif na cuf walisusa 2015 lakini serikali ya mapinduzi ya Zanzibar iliwapotezea ikaendelea kuwaletea maendeleo wananchi. Chadema hamna madhara mkisusa SHAURI YENU
Kaushauri kwa ccm, ongezeni bunge liwe wabunge 500 halafu muwaruhusu cdm wawaingize wabunge wote waliogombea. Halafu kwa kuwa mnawapenda sana cdm wapeni hivyo viti maalum 22 kama nyiongeza yao ili bunge liwake moto
Naunga mkono hoja, Chadema, hapa walipo tayari they are half dead, wakisusa kutoa ushirikiano kwa Mbunge wao wa ngama, na kususia kuteua wabunge wa viti maalum, then kwa Chadema, that will be the final fenale, Chadema itakuwa finito, totally kwishney, their only place will be 6ft under!.
Wanabodi, Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...
www.jamiiforums.com
Watu tunakesha humu kuwaombea uteuzi, kumbe wenzetu wanapanga kususa!.
Hawajajifunza kilichowapata CUF na sasa ACT kususa ile 2016?.
Hawasusii bali ukweli ni kuwa hakukuwa na uchaguzi. Hao wabunge watapatikana vipi? Waliopora haki za Watanzania kuwa n Bunge, waende tu huko kwenye vikao vya chama kumsifia shetani mkuu.
Upuuzi huo CCM so wametumia gharama kubwa kuua upinzani Sasa mapenzi ya ghafla na upinzani yanatoka wapi?
Hiyo Ni mbinu ya divide and rule ikimlenga mbowe na Lissu tu, ili wabunge wa viti maalum wakiingia bungeni washawishiwe kuunga juhudi, kwa kuhongwa ili kuhalalisha ushetani wa ccm na nec
Safari hii Chadema wakijichanganya wakapeleka wabunge wa viti maalu ccm haitawashawishi ili waunge juhudi maana maana itakua wanaharibu fake legitimacy watakayokua wametengeneza.
Chadema kuweni ngangari na mta survive tu.
Naunga mkono hoja, Chadema, hapa walipo tayari they are half dead, wakisusa kutoa ushirikiano kwa Mbunge wao wa ngama, na kususia kuteua wabunge wa viti maalum, then kwa Chadema, that will be the final fenale, Chadema itakuwa finito, totally kwishney, their only place will be 6ft under!.
Wanabodi, Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...
www.jamiiforums.com
Watu tunakesha humu kuwaombea uteuzi, kumbe wenzetu wanapanga kususa!.
Hawajajifunza kilichowapata CUF na sasa ACT kususa ile 2016?.
Puppet Mayala, usikeshe kuwaombea uteuzi wapinzani. Ni afadhali ungekesha kujiombea mwenyewe ili urudi kwenye akili yako ya kawaida.
Ni laana kubwa kukosa akili uzeeni maana uzeeni nguvu za mwili hupungua. Nguvu ya mzee ni akili yake na siyo mwili wake. Unapokosa akili na nguvu, unakuwa kama hivi ulivyo sasa. Inakuwa ni aibu kubwa kwa wote wenye kukuhusu.
Upuuzi huo CCM so wametumia gharama kubwa kuua upinzani Sasa mapenzi ya ghafla na upinzani yanatoka wapi?
Hiyo Ni mbinu ya divide and rule ikimlenga mbowe na Lissu tu, ili wabunge wa viti maalum wakiingia bungeni washawishiwe kuunga juhudi, kwa kuhongwa ili kuhalalisha ushetani wa ccm na nec
Hahaha CCM wametumia gharama kubwa wapi jomba..mnachekesha mnadhani wananchi hawaelewi wanachoamua...usiwachukulie poa watanzania..wanauwezo wa kupima na kuamua Nani ni Nani...endeleeni kusingizia CCM Kama vile hamnazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.