Uchaguzi 2020 CHADEMA mkiweza kulinda kura ambazo Watanzania tutawapigieni, basi Ikulu ni yenu


Kwa hiyo tathmini yako Ni kulingana na GOLI LA MKONO.

GE-2015 Magufuli-CCM alipata kura 8 milioni(58%) na Lowassa-CHADEMA alipata kura 6 milioni(39.9%) baada ya NECCM kuchakachua.
Haiwezekani na haitawezekana GE-2020 ATI Magufuli apate 95% hizo ni ndoto za mwendawazimu.

Matokeo ya mwaka huu hayatatofaitiana sana na very likely Jiwe asipoangalia Lissu anaweza kupindua meza....Ni hapo 28 Okt,2020!
 
Aijipii alisha toa tahadhari kwamba, kulinda kura ni kazi ya jeshi la polisi. Hivyo alisisitiza kwamba waTazania wajiepushe na kujiingiza kwenye matatizo yasio ya lazima.
Imeisha iyoo..😆
 
Kulinda kura ndo kiunzi cha mwisho cha ushindi wa CDM.

Wawekeze kwenye tech hasa kamera na vinasa sautu vya mawakala wao.

Lissu lazima aingie Ikulu ama barabarani.
Hakuna wa kuingia barabarani asee punguza munkal, we mwenyewe hutaenda na ukienda ntakupiga virungu nikuweke ndani ili ushike adabu, maendeleo hayana chama.
 
Hakuna wa kuingia barabarani asee punguza munkal, we mwenyewe hutaenda na ukienda ntakupiga virungu nikuweke ndani ili ushike adabu, maendeleo hayana chama.
Unajiona immortal siyo? Untouchable?

Watanzania tupo njia panda, kuelekea haki au mapambano.... nothing in between.
 

Kama ni ndoto, basi ni nzuri na lazima ifanyiwe kazi kweli kweli. Tukipunguza nguvu huku kwetu Kilimanjaro imeenda, na bahati mbaya wananchi wamekwisha enda kibra.

Sasa hivi Mbowe ana kazi kubwa sana kuwa shawishi wapiga kura na wala sio wanasiasa. Wananchi hawatutaki zaidi ya nusu wamekwenda CCM na idadi ya wanao ondoka inaongezeka kila siku.

Wana chadema,ofisi na uongozi karibu wa kata zote wameenda CCM, Madiwani na uongozi wa kata zote za wilaya ya Hai walikuwa Chadema wameenda CCM, na zaidi ya hayo Madiwani wote wa kata zote waliojuizuru Chadema kwenda CCM wamewarudisha kugombea katika kata hizo hizo.

Mmachame anaheshimu sana Elimu na Utajiri, cha ajabu wasomi karibu wote wamerudi CCM na matajiri ndio wanaoifanyia kampeni na kugharamia uchaguzi wa CCM.

Nipo Kata ya Uswaa, Machame, Hai:
Tumeshinda nae na kalala hapa Uswaa, Waziri wa zamani Mama Rita Mlaki, Mzaliwa wa Machame Kusini, na katembelea karibu nyumba zote na akiwa na kundi la vijana wa Chadema akieneza Injili ya CCM.
Wanasema Vijana hawana kazi-- sababu Mbowe, Hawana chakula majumbani --- sababu Mbowe, wanakunywa pombe ya Banana- -imeileta Mbowe ili wawe mazuzu yeye anapiga pesa.

Wanasema umasikini na shida zote Hai ameleta Mbowe na kwa Upoyoyo wao wanakubali na ndio kinacho semwa, Sokoni, Hospitali, Kwenye vikao vya mbege, kwenye mabasi, bodaboda na hasa baada ya kushuka neema Siha, sasa hivi Siha ndio wenye hali nzuri kimaisha na ndio Halimashauri inayoongoza Mkoa wa Kilimanjaro, huduma za wenzetu ni bora kwa sababu wameenda CCM. Na kwa bahati Mbaya wana Siha ni Wamachame.
 
CDM waanze sasa kuwabadilisha wanachama wa CCM kwa kuonesha ni kwa jinsi gani na wao wameteseka chini ya lutawala huu ikiwemo upendeleo wa dhahiri kwa waunga juhudi ambao pamoja na kupata kura kiduchu za wajumbe lakini wamepewa nafasi ya kugombea nafasi za ubunge na udiwani.

Wakurugenzi/wasimamizi wa uchaguzi nao waambiwe ni kwa jinsi gani wamekuwa wakitukanwa hadharani huku familia zao, ndugu na jamaa wakishuhudia na zaidi wakiwa hawana uhakika na nafasi zao pindi wanapoteuliwa. Ni vizuri waelewe kuwa yawezekana wakashiriki kwenye nia ovu ya kunyima haki wagombea wa upinzani lakini mapema baada ya dhambi hiyo wakatumbuliwa na baadaye wakabaki kujuta na kulia kama Yuda Eskarioti aliye msariti Yesu alipolia mara aliposikia jogoo akiwika baada ya kumsariti Yesu.

CCM waeleweshwe kama somo ni kwa jinsi gani nchi inatakiwa kukombolewa kwa ajili ya kuweka mambo sawa na kuiiepusha na vurugu hapo baadaye kama uhuru na haki za binadamu zitaendelea kuminywa.

Waeleweshwe pia kuwa wapinzani nao ni watanzania na wana nia nzuri ya kuitengeneza nchi ili iendelee kuwa mahali pazuri pa kuishi sasa na kwa vizazi vijavyo. CCM waweke maslahi binafsi pembeni ili kuokoa nchi.

Ikiwezekana wapinzani waone namna ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ili baadaye iandae katiba mpya ambayo baada ya kupitishwa ndipo uchaguzi mwingine ukifanyika kwa kutumia Tume Huru itakayoundwa, chama kitakacho shinda kitaachwa kitawale
 
ahahaaaaaa, uzuri huko Kilimanjaro kuna uhaba mkubwa sana wa mazuzu. huko watu wameanza kukombolewa kielimu enzi za kina Rebmann "anagundua" mlima Kilimanjaro miaka ya 1800 kweusi hukooo, hivi leo uwaletee utopolo wa ccm watakuelewa? mchezo mnaochezewa hapo mazee hamtaamini kwenye sanduku la kura...sera yao huko ni "kula" ccm lakin "kura" kama kawaida...jaza mwenyewe.

wachaga bana hao mangi walishajikomboa kifikra hao, kilichobaki sasa ni wao waungane na watanzania wengine wafanye kazi ya kuwakomboa na ndugu zao watanzania pia kifkira...moja ya faida kubwa ya Dodoma kuwa mji mkuu wa nchi ni kuwa baada ya miaka 5 tu wagogo nao watakuwa kama wazaramo wa dar...sababu jamaa wa migombani washatia timu huko dom kama zoteeeeee....na hao jamaa wa migombani nawaaminia, wakishatua tu mahali ni fayaaaaaaaaa mbaya kabisa..ni maendeleo tu mchakamchaka
 
Siku ya kufa nyani. Na vyombo vyote inasapotiwa lakini wapi.
 
Kura kutoka wapi? Chadema haiwezi kuchukua nchi kama itashindwa kuchukua majimbo 70% jua kwamba majimbo ambayo ccm imepita bila kupingwa chadema hawana chao.
Wananchi ndo wenye maamuzi, siyo hiko kikundi cha ccm
 
Kodi zetu zile wanachezea wameenda paka magari yao rangi ya kijani nasema tarehe 29 watakwangua na meno


After uchaguzi kuna watu wengi sana wa kufungwa
 

Me naona lisu na wenzake wangeatuandalia mafunzo ya mgambo tuwe kila mtu na mtaa wake wana chadema tunakutana sehemu tukijifua na karate za hapa na pale, judo, kick boxer , riadha pia ni muhimu
 

Yani baada ya kuchakachua na bado wakapata 58% hawa sidhan kama walifika 30%

Ndo yale yale mwalimu anakuboost anakupa max ambaza hujapata na bado unapata supp 😁
 
Kodi zetu zile wanachezea wameenda paka magari yao rangi ya kijani nasema tarehe 29 watakwangua na meno


After uchaguzi kuna watu wengi sana wa kufungwa

Yaani CCM kweli ni MAJAMBAZI...!!
Jamaa wamechukua magari ya Serikali na kuyapaka rangi za NZI WA KIJANI na kubadilisha PLATE NUMBERS yaonekana ni Mali yao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…