CHADEMA mkoa wa Mara waunga mkono Esther Matiko na Esther Bulaya kuvuliwa uanachama

CHADEMA mkoa wa Mara waunga mkono Esther Matiko na Esther Bulaya kuvuliwa uanachama

Mapenzi ya wa na CHADEMA kwa chama Chao yako ndani ya moyo, wakati Mapenzi ya Wana CCM kwa chama Chao yako kimaslai zaidi
Ndio maana hsta kuandama mnaandamania mioyoni mwenu na sio barabarani. Maskini Lissu hakulijua hili.
 
@johnthebaptist kwa kuleta uzi kama huu inaonyesha umeuona ukweli kwamba mchakato wa hawa wabunge wa viti maalumu CHADEMA haukuwa sawa na haukufuata utaratibu wa kisheria. Mengine tuwaachie walioucheza mchezo tuone wanaumaliziaje.
Hahahaaaa....... Ngoja tuone!
 
Hivi kuna haja ya matamko mengine kutoka kila mkoa wakati Kamati Kuu ilishatoa tamko na kumaliza kazi?
 
Hivi ule uongozi wa chama waliokua wanaushukuru siku ya kuapishwa ni uongozi upi?

Ngoja kupambazuke[emoji41][emoji41][emoji41]
Hadi sasa akili yako haijafunguka bado.... Subiri uone kama Mdee atakuja na hoja ya kuzungumzia huo uongozi ambao alijaribu kuwadanganya Watanzania kama wewe ambaye bado umeishikilia hiyo hoja. Wenzako wameshaelewa huu mchezo mchafu.

Hujajiuliza tu pamoja na maswali mengi yaliyo kwenye hii movie, kuna hili la chama kumuorodhesha kwenye list ya wabunge, mwanachama ambaye yuko mahabusu kwa siku zaidi ya 130.

Hivi CHADEMA walikua na uhakika gani kwamba NEC ingempitisha? Na kwamba hawakuwa na wengine wa kuwaweka kwenye hiyo orodha? Utasubiri sana na hiyo hoja ya Mdee "kumshukuru" Mwenyekiti
 
Ndiyo kuonyesha mshikamano wa chama. Bashiru kawakaribisha CCM kaona kabisa wamekwisha na movie yao basiiii. Waendee tuu CCM Buuaya aisema hakuondoka CCM vibaya arudi huko. Bashiru anadai kuna mamuiki CCM, chadema ipo mioyoni mwa watuu.
 
Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko.

Source Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
Ndo chadema imeshaparaganyika hivyo, kumfukuza mke wa makamu wenu wa urais wa chadema poyoyo wenu Salum Mwalimu mnafikiri mtabaki wamoja?
 
Back
Top Bottom