Wivu tu, vile kuna nyumba ndogo kadhaa sasa itabidi zihudumiwe kwa jasho lao wenyewe na sio posho zao za Bunge.Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko.
Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Mbona Aidan walimruhusu akaapishwe kama uchaguzi hawautambui ? AU uchaguzi wanatambua wanaposhinda tu? Kwahiyo ruzuku pia wataigomea?